Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,864
- 141,434
Aisee najisikia aibu sana kuwa mtanzania..sipati picha tukifika huko ahera tutakavyochekana kwamba "na wewe ulikua mtanzania kumbe hahahaha"
Hapo walimaanisha watupe ndege bure bure bila kufuata sheria kwa kuwa tumewasaidia sana enzi za kupigania haki yao..kwa kweli huu ushamba unazidi kutuaibisha kimataifa tunaonekana ni nchi ya wapumbavuNoma sana!
Wengine waloandamana nimewaona wamebeba mabango ya sijui kwamba sisi tuliwasaidia hao Wasauzi enzi wakipigania haki zao.
Kwa hiyo kama tuliwasaidia, huo msaada unahusiana nini na tatizo lililopo?
Tumezidi ushamba.
Ushamba wa kiwango cha juu zaidi duniani na wala sijawahi kuona hili popote duniani
Tumezidi ushamba
Ila rudisha ile picha tuliyozoeaWalipe tu deni la watu ili yaishe.
Ila rudisha ile picha tuliyozoea
Unajifanya hukumbuki wanaijeria walifanya nini kwa wasauzi. Napongeza vijana walioandamanaKwa kweli sisi tumezidi ushamba sasa!
Yaani huko kushikiliwa kwa ndege moja tu ndo imekuwa nongwa hadi majitu yanaenda kuandamana?
Kushikiliwa kwa ndege kumekuwa ndo gumzo la taifa sasa! Mengine yote yamesahaulika!
Mimi si mshabiki sana wa haya mashirika ya ndege ya taifa. Najua yapo dunia nzima. Napendelea zaidi mashirika binafsi ndo yafanye hizo biashara za anga kama ilivyo Marekani.
Hii ya ndege moja kukamatwa na watu kuanza kutoa mapovu hadi kufikia kuandamana mbele ya ubalozi wa nchi inakoshikiliwa ndege hiyo ni ushamba.
Nishawahi kusema humu kuwa maamuzi ya kununua hayo madege yalikuwa ni ya papara. Na haya yaliyotokea ndo ushahidi wa papara yenyewe sasa.
Yaani ndege moja tu kukamatwa ndo ifanye watu wazima waache shughuli zao waende kuandamana mbele ya ubalozi?? Hawana shughuli za kufanya au?
Tumezidi ushamba.
MKUU hujui utamu wa kununua GARI kwa mara ya kwanza...mi nakumbuka langu nililala dirishani nikilichungulia hadi pakakucha.
Ndege ynyewe hata mwaka haijatoboa unataka tusiandamane..TUACHE ASEEE hujui uchungu wa kitu kipya brooo
Unajifanya hukumbuki wanaijeria walifanya nini kwa wasauzi. Napongeza vijana walioandamana
Ushamba wa kiwango cha juu zaidi duniani na wala sijawahi kuona hili popote duniani
Kuhusu mauaji ya wanaija huko sauziKuhusu nini?
Kuhusu mauaji ya wanaija huko sauzi
mi unanchanganya na hiyo picha..ebu rudisha ile ile nsije anza kukufata PM saiziUshamba na ujinga ni mchanganyiko mbaya sana.