Utaishia kupata kura moja tuToka nazaliwa mpaka leo sijapeleka kura yangu popote untill nitakapogombea mwenyewe
Kwa ujinga ambao akina Mbowe waliufanya 2015? NEVER!Kuna siku utaona jinsi ulivyopotoka
Lakini yenye maanaUtaishia kupata kura moja tu
Siku ukisikia Lisu ni mmoja wao ndo utachoka na kuchoka,.Kama watarudi wose is fine ila TUNDU LISU tu anatoshaa.Kama kutakuwa na kiongozi mmoja tu aitwaye TL upande wa upinzani anatoshaa kabisa
mshana jr, Hoja ya pili, niliyonukuu hapo, juu ni dhaifu kwa kuwa dhana yake ni kwamba Lowassa ndiye mwamuzi wa mwisho wa siasa za nchi hiiKesho tarehe 10.01.2018 inaweza kuwa siku nyingine mbaya kwa wale wapenda wabadiliko. Kesho kuna kulia ama kucheka kama ni kweli kutakuwa na mkutano Serena hotel.
...
Kama hahami furaha shangwe nderemo na vifijo vitakuwa vingi mno... Nchi italipuka kwa kushangilia. Na wale wa upande wa pili watakuwa wamepigwa mweleka mkubwa.
...
Inawezekana kabisa ukawa ni mwanzo mpya wa kutufanya tusonge mbele pale tulipokwamishwa.
Umepangilia hoja zako vizuri.... Je nikisema tena wakati utaamua kutakuwa na ubaya wowote? I mean nimeandika nawe umeandika! Ni haki yetu sote so long hatuvunji sheria na taratibu za JF na tunabishana kwa hoja.. Ni wakati sasa wa kusubiri kuona muda utatuletea ninimshana jr, Hoja ya pili, niliyonukuu hapo, juu ni dhaifu kwa kuwa dhana yake ni kwamba Lowassa ndiye mwamuzi wa mwisho wa siasa za nchi hii
mshana jr kumbuka kuwa jina la Lowassa lilipokatwa CCM, ikafiatutiwa na sekeseke mkutano wa NEC wengi, nadhani na wewe, uliamini CCM ndiyo mwisho, mbendembende kifo cha mende. Matokeo unayajua.
mshana jr, hoja ya mwisho, nukuu hapo juu, nakubaliana na wewe ila nakukumbusha kuwa, nje ya ndani ya uongozi wa CCM (kwa maana ya vikao vyake), kila mwanachama ana nguvu. Lakini ndani ya chama, nguvu ya mwanachama mmoja mmoja haipo. Mwanachama anakihitaji chama kuwa na nguvu na chama hakimhitaji mtu mmoja mmoja kuwa na nguvu.
Hitimisho ni kwamba kurejea au kutokurejea kwa Lowassa CCM kuna tija/hasara kwa Lowassa kama Lowassa, BASI. Rejea hotuba zake zote ndani na nje ya CCM. Ila nina uhakika CHADEMA itaathirika sana akirejea CCM na sababu ziko nyingi km amewezesha kupata wabunge wengi - na Team Lowassa. Lakini CCM mpya, kama Lowassa hakujipanga vizuri jinsi ya kurejea, Team Lowassa itasambaratIka.
NI MAONI YANGU TU