Tumewagalagaza tena CCM!!


Du JF bhana kweli ni noma....kila unachotaja/kuuliza unapata jibu......haya mtoa mada aje ajibu kama huyo mwenykt ndiye au mdau aliletewa mtendaji....otherze Hongera CDM, ili ushinde urais unahitaji kwanza kukubalika ngazi za mtaa,kijiji,kata,wilaya hadi taifa
 
Habari inahamasisha na kuleta matumaini kwa Watz wengi waliopoteza matumaini.
Hongera CDM. Dalili ya mvua ni maweingu.
2015 is our year!!!!
 
Makamanda wote big up na hongereni sana,lakini nahisi huzuni moyoni cause walizoea kutuibia vijijini na sasa sijui wataiba wapi tena. {masikini chichiemu wamekula ya mbuzi na tume yao ya wazee ya uchaguzi }peopleeeeeee'zzzzzzz poweeeerrrr.
 
Niko firm kwenye jibu langu!!
 
Ingekuwa vp kama uchaguzi mkuu ungefanyika mwaka huu!!
 

NAWAPONGEZA WOTE WALIOSHIRIKI KUIUNGA MKONO CHADEMA HII NI ISHARA NJEMA KWA CHAGUZI ZA MADIWAN ARUSHA. Kila kamanda aendelee kutoa elimu ya uraia. Peeepoooz!!
 
Viva CDM!

Chama inayotegemewa kwa mabadiliko ya Nchi.
 
HEKO CHADEMA;Huko vijijini ndiko kwa kuteka ili kujenga mtandao imara!!!!!!
Nakisikitikia chama changu cha mapinduzi,maana ndio kimeshapotea ulingoni hivyo!!!
 
Good news kwa ukombozi wa nchi, wakati wengine wanafukuzana na wengine kuvuana magamba CDM wao wanaimarisha chama. Hongera katibu mkuu wa CDM kwa kazi nzuri
 
Kabla sijaanza kushangilia naomba kujuzwa, hivyo Vijiji vipo Mkoa/Wilaya gani?
Viva Chadema, Chama Dume.
 
Hongereni CDM, ni matumaini yangu kwamba uongozi wa wilaya, mkoa hadi Taifa utashirikiana nao bega kwa bega kuimarisha chama kwenye ngazi hii muhimu sana. Kuna wenyeviti wengi tu wa CDM kwenye ngazi hizi za chini hata hawapati support yoyote kutoka ngazi za juu akiwemo Mwenyekiti wa mtaa wangu.
CDM rekebisheni kasoro hii, CDM siyo ngazi ya Taifa pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…