Tumetoka mbali : Siku ya kuzaliwa

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437



Hii video inatukumbusha

  • Kwa nini wanawake waliojifungua wanatakiwa kuheshimiwa
  • Kuwa sio wataalamu wote wanatoka ulaya wanakuja kujitolea kama wanavyodai. wengine wanakuja kufanya practical za real life sababu inaonekana masomoni wanafunzi hawaruusiwi kucheza na maisha ya watu kama africa.
 
Last edited by a moderator:
Mimi zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa namuuliza mama yangu mama sisi tunapozaliwa tunatoka wapi mama yangu alinijibu eti tunapatikana baharini nikawa najuwa hivyo mpaka nilipokuwa mkubwa kumbe nikaelewa kuwa kumbe tunazaliwa ndani ya matumbo ya mama zetu kazi kubwa sana kujifunguwa.
 
Sasa hayo ni mazingira ya labor word za uko mbele sijui mazingira ya huku kwetu yakoje.
 
Haya ni maendeleo makubwa sana. Itasaidia sana kwenye ufundisha na especially sehemu ambazo watu wanajua haki zao na wanafunzi wa udaktari hawawezi kuikaribia labour room. Ila huku kwetu bado hakuna shida, wanafunzi wanaingia labour room kama kwenye disco toto.
 
Back
Top Bottom