Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
Yap! K-lyin ft mr.blue- nishike mkono...... Itupie mkuu KENZYMama Mengi?
Kisanga kuzidownload sasa
Daah ! Mkuu umenikumbusha mbali sana... ! Huyu Dada (V.2) nilikuwa nampenda mpaka nikawa naumwa bila ya kumuona yeye kwenye TV enzi hizo ilikuwa tvt ! [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] ! Na nilikuwa namwonea wivu sana bwan chuchu (RIP legendary) maana najua lazima aliwahi kumpitia tu huyu dada..!
Hapana kipande hicho amechana KAMANDA BOKASA a.k.a. King Crazy GK,KENZY usisahau na ama zangu ama zao ya east coast team waliomshirikisha JD komandoMwana F.A anakuambia temeke rap sasa mwisho kuwakilisha.siyo kwamba sipendi harufu ya [emoji239] wa kienyeji [emoji1][emoji1][emoji1]
This is one of the best song of all time in Tanzania.. ! Mika mwamba nadhani kwangu mimi ndiye the best beat maker in Tanzania... ! Cos nikiangalia hii baby girl ya mad ice pamoja na elimu mtaani ya D. Knob nashindwa kuelewa huyu mzee alikuwa anafikilia nini wakati anatengeneza beat hizi... !
Nmeangalia hii nyimbo imenitoa machozi.. [emoji29] [emoji29] huyu Dada huyu sijui yupo wapi ! Alikuwa kisu vibaya munooo !Aisee acha kabisa.....watoto wadogo hawajui hii
HahahaDuhh, una kumbukumbu nzuri sana. Yaani hadi leo unakumbuka nyimbo walizotumia kukumbembeleza ili unywe uji!
Nimecheka sana mkuu
Aiseeee! Halafu wanakuja wajinga wanasema Ali Kiba anaimba kuliko zamani, hebu tupia ile moja ya Ali kiba aliomshirikisha Queen Darlin wimbo unaitwaje sijui ( Mi mwenzio nakupenda....penda....kila siku naliaaaaaaaa.....mi mwenzio nakuwaza.....) KENZY bila kusahau ya q chief ft fatuma-nimeridhika nae
Unaipata hiyo..?This is one of the best song of all time in Tanzania.. ! Mika mwamba nadhani kwangu mimi ndiye the best beat maker in Tanzania... ! Cos nikiangalia hii baby girl ya mad ice pamoja na elimu mtaani ya D. Knob nashindwa kuelewa huyu mzee alikuwa anafikilia nini wakati anatengeneza beat hizi... !
Yap! Ni og mkuu KENZY hujakosea naomba na ya Q chief ft.fatuma-nimeridhika naesidhani kama hiyo ni og