tumethubutu,tumewezwa na tunasonga mbele.

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
namtoa jogoo wangu kama zawadi ya miaka 50 ya uhuru.

jogoo.JPG
 
[h=6]Towards 2012 with much hope less mistakes and determination..[/h]
 
naomba jogoo huyu awe chachu ya kuchochea ufugaji bora.
 
naomba jogoo huyu awe chachu ya kuchochea ufugaji bora.

dah hii chachu naona itakua imezidi pilipili sana maana huyu jogoo dah...! ila akhsante bwana japokua nadhani kuthubutu kwetu kumetucost sana yani
 
Tumethububu,wametuweza, na tunarudi nyuma

tena kwa kasi na tunajidanganya kua tunaenda mbele..! manake kama tungekua tunaenda mbele yale mambo yaliyo achwa zamani tungekua tunayaendeleza kwa kasi zaidi lakini sasa hivi reli zimekufaa..! mahospitali ni majengo tu ila huduma ni duni kama vile hawahudumiwi watu utadhani ni sehemu za kuulia watu kumbe ni sehemu za watu kupata kupona yani kwa kweli Mungu atusaidie jamani....!
 
jogoo ana reflect maisha ya watanzania waishio tandale nao wanajiona wako dar
 
Back
Top Bottom