Ni uwezo wa waarabu mkuuNimeumia sana ila walipanga achukue mwarabu shenzi sana
Simba yupo unguja anakula upepo wa bahari
Kombe wanalo ilo apo kalibeba kisuguUmoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA) unasikitika na kutoa pole Kwa Simba kufuatia kukosa ubingwa ... though juhudi mbalimbali zilifanyika....ni hujuma tu
Hivyo basi....sisi kama umoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA)......tunatoa masaa 5 Kwa CAF kuwapa simba kombe Lao bila masharti.... otherwise something terrible gonna happen
Japo Simba tuna kombe letu la mtofyo( aluminum)View attachment 3346084
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kombe la aluminumKombe wanalo ilo apo kalibeba kisugu

Wacha wanendelee kujifarijiHawajui kuwa wamekutana na timu ambalo lina uzoefu wa haya mashindano

Hadi mwakaniHilo limeenda.
Kama kukosa wameshalikosa
Nani alishauri kuchonga kombe hili na kuliweka mbele hapo?
Hilo kombe la kuchonga aliyeshauri ni mbumbumbu na waliomfuata vile vileUmoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA) unasikitika na kutoa pole Kwa Simba kufuatia kukosa ubingwa ... though juhudi mbalimbali zilifanyika....ni hujuma tu
Hivyo basi....sisi kama umoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA)......tunatoa masaa 5 Kwa CAF kuwapa simba kombe Lao bila masharti.... otherwise something terrible gonna happen
Japo Simba tuna kombe letu la mtofyo( aluminum)View attachment 3346084
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Labda ilikuwa idea ya kumotivateNani alishauri kuchonga kombe hili na kuliweka mbele hapo?
Walifeli sana .....Hilo kombe la kuchonga aliyeshauri ni mbumbumbu na waliomfuata vile vile
Alisha kabishiwa kisugu kabla ya mechiUmoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA) unasikitika na kutoa pole Kwa Simba kufuatia kukosa ubingwa ... though juhudi mbalimbali zilifanyika....ni hujuma tu
Hivyo basi....sisi kama umoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA)......tunatoa masaa 5 Kwa CAF kuwapa simba kombe Lao bila masharti.... otherwise something terrible gonna happen
Japo Simba tuna kombe letu la mtofyo( aluminum)View attachment 3346084
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Acha kabisa! Nchi ingekuwa kwenye hali mbaya sana. Siasa za kusifiana na kutukuzana, nazo zingepamba moto! Yaani ingekuwa ni vurugu kila kona. Bora tu wamekosa.Simba wangebeba kombe hili sijui tungeweka wapi sura zetu wengine huku
Walistahili kulikosa. Kwanza wajinga wnageuza mchezo wa mpira kuwa vita na pili kuna wanasiasa wangeichukua kama mbeleko.Umoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA) unasikitika na kutoa pole Kwa Simba kufuatia kukosa ubingwa ... though juhudi mbalimbali zilifanyika....ni hujuma tu