Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
Umoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA) unasikitika na kutoa pole Kwa Simba kufuatia kukosa ubingwa ... though juhudi mbalimbali zilifanyika....ni hujuma tu
Hivyo basi....sisi kama umoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA)......tunatoa masaa 5 Kwa CAF kuwapa simba kombe Lao bila masharti.... otherwise something terrible gonna happen
Japo Simba tuna kombe letu la mtofyo( aluminum)
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app