mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,083
- 2,098
Tena uchumi
Wa deficit budget
Pia hesabu za chanya na hasi haelewi?
Deni limepanda anasifia
Bado madudu yake hayajajulikana hata 2%, alivuruga nchii vibaya na kutesa na kuua wengi.Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!
A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.
Magufulism,Magufulication, Magufulists, iwe jua,iwe mvua, always there.
Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.
Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.
It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.
Baba Pumzika kwa Amani.
Mwenye roho mbaya kishakufa, kama unampenda mfuate huko tulikomfukiaUtateseka sana...ndiyo dunia imewajibu leo...pole utakufa kwa stress za roho mbaya
[emoji23] [emoji23] stukeni nyie wapuuzi na mutambua kwamba mropokaji wenu kashakufa, binafsi siamini kama mwamba alikuwa na akili timamu, rais wa ovyo kabisa kuwahi kutokea sio tz tu bali mpk dunia nzima ilikuwa ikitushangaa tuliwezaje kumpa nchi hyu mtu.Hahaha mkuu umemaliza kila kitu
Vatican ya wapi mtu amezikwa kwenye ngozi ya fisi na mamikuki?Kunya Pilton upunguze maumivu maana leo dunia imesimama kuomboleza. Huyo ndiyo JPM na bado mengi yanakuja subiri Vatican wanakuja na nyingine fungal kazi.Yaani mtateseka were Eee.
Nimepata
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!
A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.
Magufulism,Magufulication, Magufulists, iwe jua,iwe mvua, always there.
Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.
Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.
It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.
Baba Pumzika kwa Amani.
Hongera UN...hongera Balozi Katanga ...Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kwa jambo hili
Legacy ipi mbayo mnatupigia kelele nyie wafuasi wa mfilisti unategemea UN wasemeje ikiwa MAGUFULI alikuwa rais kikatiba? Au hata protocal hamzijui mnashangilia hovyo hovyo kama wehu ?Well said. Kila nilipokuwa naangalia wajumbe wa UN kutoka maeneo yote duniani wakitoa salaamu kwa TZ leo kuhusu msiba wa Rais Magufuli, nimeelewa kuwa marehemu a
metuachia legacy itakayodumu daima
Nakubaliana nawe UN wametoa tamko sijui nalo watapinga hao wasaliti????????????Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!
A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.
Magufulism,Magufulication, Magufulists, iwe jua,iwe mvua, always there.
Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.
Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.
It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.
Baba Pumzika kwa Amani.
NI KWELI HUWEZI FUTA LEGACY YAKE.Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!
A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.
Magufulism,Magufulication, Magufulists, iwe jua,iwe mvua, always there.
Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.
Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.
It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.
Baba Pumzika kwa Amani.
nyie si ndo akina AKA, Mbowe , Lisu, Zito pamoja na wasaliti wengine wanaojiosha bungeni tulishawazoeaUzi wakijinga 'kweri kweri' - in mwendazake's voice
Upepo unaelekea wapi?Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!
A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.
Magufulism,Magufulication, Magufulists, iwe jua,iwe mvua, always there.
Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.
Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.
It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.
Baba Pumzika kwa Amani.
Uzi mbovu Sana,Mkuu,Lakini umeusoma na kuchangia!
Ni jambo la kawaida sana kwa UN kumkumbuka raisi aliyefia madarakani wala si kitu kipya kwa Hayati Magufuli tu ila tafakali tu wanamkumbuka mtu ambae hakuwahi au alikuwa anaogopa kufika huko UN.Well said. Kila nilipokuwa naangalia wajumbe wa UN kutoka maeneo yote duniani wakitoa salaamu kwa TZ leo kuhusu msiba wa Rais Magufuli, nimeelewa kuwa marehemu ametuachia legacy itakayodumu daima
Unateseka ukiwa wapi?nyie si ndo akina AKA, Mbowe , Lisu, Zito pamoja na wasaliti wengine wanaojiosha bungeni tulishawazoea