Hahaha mkuu umemaliza kila kituWell, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, ...alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!..
Mbona hujampongeza mhusika au hamna teuzi ukimpongeza marehemu?Hongera UN...hongera Balozi Katanga ...Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kwa jambo hili
Mkuu,Lakini umeusoma na kuchangia!Uzi wakijinga 'kweri kweri' - in mwendazake's voice
Ndio ndio mkuu nimesoma. Ila pale aliposema kuwa "90% ya raia wa Tanzania ni magufulists" ndipo nilipoacha kusoma kwakuwa nimejua mwenye thread ni mjinga kwakuwa hata tukimuuliza hizo takwimu amepata wapi au amezipataje hataweza kutujibu.Mkuu,Lakini umeusoma na kuchangia!
Lenin,Stalin,Kruschev,Brezhnev,Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, ...alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!...
Walikuwa na kasi ya kishetani sana hawa jamaa. Umma wa watanzania walio wengi wanakubali sana Magu, mtu awaye yote akujitokeza kumsimanga, lazima ashambuliwe. Legacy ya Magu ni ya miaka mingi mno, tangu akiwa waziri, umma ulikuwa unamfahamu utendaji kazi wake na misimamo yake; utawezeji mnafiki mmoja umchafue kwa report uchwara ya CAG?Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, ...alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!...
Watapotea wao, ila siyo ALAMA ALIYOACHA MAGUFULI.
Pepo? Labda pepo ya white sands,ama seacleaf.Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!...
Watu ni wale wale wanao lazimisha magufuli apendwe , nyimbo zao ni zile zile kila uchwa ukiwachunguza utabaini hawa ni wakabila tena ni wasukuma na wafuasi wa usukuma wanao amini katika utawqla wa kitemi , ni wafuasi wa mtu na sio uzalendo katika nchi,ni wanufaika wa waliye muamini na aliye waaminisha kuwa sasa ni muda wao kula mema ya nchi na atakuwa mungu wao hapa tanzania lakini sasa wana haha maana izraeli hakupenda matendo ya huyo mtu wenu kinara wa ukabila na ubabe pamoja na dhulma na akamtwaa haraka tena kizembe kabisa,Magufuli alikuwa zawadi ya Mungu kwa Watanzania. Magufulism will always stand out against all imperialist and their puppets....
umeshapata AstraZeneca?Watu ni wale wale wanao lazimisha magufuli apendwe , nyimbo zao ni zile zile kila uchwa ukiwachunguza utabaini hawa ni wakabila tena ni wasukuma na wafuasi wa usukuma wanao amini katika utawqla wa kitemi...
Hata UN kuna wasukuma saaaWatu ni wale wale wanao lazimisha magufuli apendwe , nyimbo zao ni zile zile kila uchwa ukiwachunguza utabaini hawa ni wakabila tena ni wasukuma na wafuasi wa usukuma wanao amini katika utawqla wa kitemi...