tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
Zidumu fikra za Mwenyekiti wa chadema TaifaHakuna binadamu aliye mkamilifu. Usipokubali kukosorewa hautajifunza mambo mapya zaidi ya yale uyajuayo.
Daima utabaki kwenye mawazo yale yale kila siku.
Hauwezi kuwa kiongozi ukajua kila kitu.
Jitahidi kukubali kukosorewa.
Nitajie fikra inaendesha upinzaniHizo zama kamwe haziwezi kufanikiwa...upinzani ni fikra na ni ujinga kujiaminisha kwamba wewe ndio superman..wanakuvutia kasi they'll hit u (in kagames)..Kwanini ana force watu wafanane kifikra??
Huna akili..nikisema huku ni kushoto na wewe ukasema ni kulia unaona ni sawa? sijamaanisha upinzani unaofikiri wewe..kukinzana kwa hoja! kwani hujui kwamba hata ndani ya ccm kuna upinzani? its all about mentality na sio political ideology kwa ujumla wake..think big!Nitajie fikra inaendesha upinzani
Hizo ndizo fikra za Upinzani?Hataki kukosolewa wala kutubu dhambi anajifanya mtakatifu, yeye anataka kuombewa tu
Nimesema nitajie hizo fikra za Upinzani hata zikiwa ndani ya chama cha MapinduziHuna akili..nikisema huku ni kushoto na wewe ukasema ni kulia unaona ni sawa? sijamaanisha upinzani unaofikiri wewe..kukinzana kwa hoja! kwani hujui kwamba hata ndani ya ccm kuna upinzani? its all about mentality na sio political ideology kwa ujumla wake..think big!
Uchaguzi Wa naibu meya ni mfano hai!Nimesema nitajie hizo fikra za Upinzani hata zikiwa ndani ya chama cha Mapinduzi
Watu wengine hadi mnakera. Mlivyolivalia njuga swala la kutubu utadhani nyie ndo mungu kujua kama katubu au hajatubu. Mbona we we unafanya dhambi kibao ukienda kutubu kuwa unaitangazia dunia kuwa umeenda kutubu? Hebu tafuteni hoja nyingine sio kung'ang'ania kitu ambacho ni cha private yeye na mungu wake mtumwa ujumbe kashamaliza kazi yake hayo mengine hayamuhusu wala we we.Hataki kukosolewa wala kutubu dhambi anajifanya mtakatifu, yeye anataka kuombewa tu
Sasa ukiambiwa kutubu, si utubu tu, ya nn kumsumbua mtumishi wa Mungu?Watu wengine hadi mnakera. Mlivyolivalia njuga swala la kutubu utadhani nyie ndo mungu kujua kama katubu au hajatubu. Mbona we we unafanya dhambi kibao ukienda kutubu kuwa unaitangazia dunia kuwa umeenda kutubu? Hebu tafuteni hoja nyingine sio kung'ang'ania kitu ambacho ni cha private yeye na mungu wake mtumwa ujumbe kashamaliza kazi yake hayo mengine hayamuhusu wala we we.
Umemsikia kamjibu chochote kwa mdomo wake?Sasa ukiambiwa kutubu, si utubu tu, ya nn kumsumbua mtumishi wa Mungu?
Katumia organ za Dola. Polisi na TRAUmemsikia kamjibu chochote kwa mdomo wake?
Rushwa atoe yeye wakitoa wengine dhambi.Fikra sahihi za mwenyekiti kutumia kodi zetu kutoa rushwa kwa wawakilishi wa upinzani.
kwa mambo anayoyafanya mchana kwepe anatakiwa atubu na aende mwelekeo tafauti na sasa kununua watu ili wamsifie,anajidanganya sana,watanzania sio wapumbavu woteWatu wengine hadi mnakera. Mlivyolivalia njuga swala la kutubu utadhani nyie ndo mungu kujua kama katubu au hajatubu. Mbona we we unafanya dhambi kibao ukienda kutubu kuwa unaitangazia dunia kuwa umeenda kutubu? Hebu tafuteni hoja nyingine sio kung'ang'ania kitu ambacho ni cha private yeye na mungu wake mtumwa ujumbe kashamaliza kazi yake hayo mengine hayamuhusu wala we we.