Tumerudi zama za zidumu fikra za mwenyekiti

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
2,000
Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Usipokubali kukosorewa hautajifunza mambo mapya zaidi ya yale uyajuayo.
Daima utabaki kwenye mawazo yale yale kila siku.
Hauwezi kuwa kiongozi ukajua kila kitu.
Jitahidi kukubali kukosorewa.
 
Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,986
2,000
Huna akili..nikisema huku ni kushoto na wewe ukasema ni kulia unaona ni sawa? sijamaanisha upinzani unaofikiri wewe..kukinzana kwa hoja! kwani hujui kwamba hata ndani ya ccm kuna upinzani? its all about mentality na sio political ideology kwa ujumla wake..think big!
Nimesema nitajie hizo fikra za Upinzani hata zikiwa ndani ya chama cha Mapinduzi
 
e2n

JF-Expert Member
Dec 24, 2015
634
1,000
Hataki kukosolewa wala kutubu dhambi anajifanya mtakatifu, yeye anataka kuombewa tu
Watu wengine hadi mnakera. Mlivyolivalia njuga swala la kutubu utadhani nyie ndo mungu kujua kama katubu au hajatubu. Mbona we we unafanya dhambi kibao ukienda kutubu kuwa unaitangazia dunia kuwa umeenda kutubu? Hebu tafuteni hoja nyingine sio kung'ang'ania kitu ambacho ni cha private yeye na mungu wake mtumwa ujumbe kashamaliza kazi yake hayo mengine hayamuhusu wala we we.
 
tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
2,000
Watu wengine hadi mnakera. Mlivyolivalia njuga swala la kutubu utadhani nyie ndo mungu kujua kama katubu au hajatubu. Mbona we we unafanya dhambi kibao ukienda kutubu kuwa unaitangazia dunia kuwa umeenda kutubu? Hebu tafuteni hoja nyingine sio kung'ang'ania kitu ambacho ni cha private yeye na mungu wake mtumwa ujumbe kashamaliza kazi yake hayo mengine hayamuhusu wala we we.
Sasa ukiambiwa kutubu, si utubu tu, ya nn kumsumbua mtumishi wa Mungu?
 
jabulani

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
4,892
2,000
Fikra sahihi za mwenyekiti kutumia kodi zetu kutoa rushwa kwa wawakilishi wa upinzani.
 
bababikko

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,466
2,000
Watu wengine hadi mnakera. Mlivyolivalia njuga swala la kutubu utadhani nyie ndo mungu kujua kama katubu au hajatubu. Mbona we we unafanya dhambi kibao ukienda kutubu kuwa unaitangazia dunia kuwa umeenda kutubu? Hebu tafuteni hoja nyingine sio kung'ang'ania kitu ambacho ni cha private yeye na mungu wake mtumwa ujumbe kashamaliza kazi yake hayo mengine hayamuhusu wala we we.
kwa mambo anayoyafanya mchana kwepe anatakiwa atubu na aende mwelekeo tafauti na sasa kununua watu ili wamsifie,anajidanganya sana,watanzania sio wapumbavu wote
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom