Jamani DOWANS mbona hatuwasikii tena? wameshalipwa? Isije ikawa ni mbinu za CCM ku divert vuguvugu letu la kupinga Dowans kulipwa kwa kutuletea hadithi za magamba:mod: Jamani tukikaa kimya itakula kwetu na kama mtu anahabari basi atuletee hapa jamvini