Tumerogwa?

nyengo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
454
184
Jamani DOWANS mbona hatuwasikii tena? wameshalipwa? Isije ikawa ni mbinu za CCM ku divert vuguvugu letu la kupinga Dowans kulipwa kwa kutuletea hadithi za magamba:mod: Jamani tukikaa kimya itakula kwetu na kama mtu anahabari basi atuletee hapa jamvini
 
Hata mimi nimeiona hiyo,Magamba sio mchezo wanambinu nyingi sana. labda wenye nondo watatuletea hapa
 
Dowans imeshakula kwetu. Wameuzia kampuni inaitwa Symbion mitambo hiyo na Symbion imo mbioni kukamilisha mkataba na Tanesco. Mafisadi huwawezi!
 
Back
Top Bottom