Real Estate Projects
Member
- Sep 6, 2013
- 15
- 1
Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
Hivi Mh Nasari, hata kama Mh Sugu angemvunja huyo policcm meno yote ya mbele, si kwamba Mh Sugu alikuwa kwenye eneo la kinga ya kibunge? Naomba muongozo
Sii bure,utakua ulizaliwa guest house za manzese!
kwa hiyo unataka kuniambia mbunge anaweza kumpiga mtu mpaka akafa bungeni na yet akawa ana kinga ya kibunge?
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
Safi sana Dogo Janja. Jaribu kukaa naye umueleze kuna tofauti kubwa kati ya kuwa baa na bungeni. mambo ya kijinga haya ya kutumia nguvu za mwili awaachie wala msuba wengine. Pale ni sheria na taratibu tuu ndiyo zinafuatwa. Ni akili ya mlevi tu ndiyo inaweza kufikiri kwamba naibu spika kwa mamlaka yake katoa amri kwa wanausalama wa bunge kumtoa nje KUB halafu eti yeye anaweza kutengua amri hiyo kwa kutumia misuli yake. SHAME ON YOU SUGU!:bored:
pamoja na yote,ukweli ni kwamba kitendo mlichokifanya jana kimewatia doa.kama hamuamin tafuteni maoni ya wanaCHADEMA wote msikie wanachofikiri kuusu tukio la jana.
kesi yangu imeisha wananitafutia nyingineNdauwo poleni sana, yani ninahasira na hao magamba, safari hii nikikutana na Ndugai haki tena nampa ngumi ya Uso potelea mbali acha wanipe kesi nyingine!
Thats right, kiongozi mzur lazima awe na busara na hekma hata kama ameonewa hapo hatuna viongozi ni vurugu tupu.Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
Chadema imegawanyika katika makundi makuu mawili bungeni,la kwanza ni la Mbowe humu utamkuta punguani Tundu Lissu,mpenda sifa za kijinga Lema,bongo lala Sugu,mropokaji Msigwa na muongo alievuka mipaka Mnyika na ukifuatilia kwa undani hili kundi kabla kuingia bungeni hawakuwa na shughuli halali za kuwaingizia kipato cha kila siku walikuwa wahuni tu wa mtaani.Kundi la pili ni la wasomi,wenye kujitambua,wajenga hoja na kujiheshimu hapa utamkua Zitto,mh Arfi,Shibuda,Halima Mdee,Lucy Owenya na wengine wachache.. Hii ndio safu ya Chadema bungeni na majukwaani.
I like football, manake wakati mwingine mchezaji anaweza omba radhi hata nje ya uwanja sasa siasa watu wazima mnafanya mambo ya kipumbavu mnashindwa kuambiana ukweli matokeo yake mnajiunga mkono. Manake kama Ndugai alikuwa chizi na akapitia nguo zenu mkioga na nyie mkatoka kichele kumtoa nduki sasa woote mnakuwa machizi tena nyie mnamzidi chizi mkuu sababu yeye anabaki na nguo nyie mnakuwa wakweli.
Ifike mahali muache mambo ya kishamba watu wazima timizenu wajibu wenu, chapaneni makonde kwa mambo ya hoja za kweli lakini mipasho kila kukicha mtakuja pata makonde mitaani manake na wananchi washavurugwa kuliko nyinyi. Kwengine duniani wabunge wanazichapa na wabunge wenzao nyie mnapiga askari? Halafu mnaleta mbwembwe za kumshinda askari kwa sheria huyo myonge tu lazima mtamshinda mie ningewakubali kama mngemsubiri Ndugai nje na kumpa vitasa. Afande kwanza anaogopa kupoteza ugali na mahakamani hawezi kuweka mwanasheria, wengine wahuni ndio wakiwakuta kitaa wanawapasua.