Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
Mwambie Mhe Sugu asiwe na wasiwasi Mapokezi ambayo watu wa Mbeya wanaandaa zitakuwa salamu tosha kwa Ndugai & co
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
Wapuuzi nyie hamna mambo ya kufanya zaid ya kushabikia fujo na aibu ztokeazo bungeni?ebu jiulizen n kina nan wamewatuma hapo na kwann sio kuleta itikad zenu zisizo na maslah ktk taifa hili.
Ninachoona ni mambo ya club kuhamia bungeni, hizi ndio athari za kuchagua wabunge watu wasio na sifa, hekima na busara. kupigana sio sifa ni ishara ya ushamba.
Kuna maneno kuwa baadhi ya wacheza mpira hawawezi kuingia uwanjani bila kuvuta bangi, kwa mwenendo wa bunge la sasa inawezekana kuna baadhi ya wabunge hawawezi kuingia bungeni bila kuvuta bangi, maana kwa akili ya kawaida mambo wanayoyafanya hayawezi kufanywa na mtu anayejiheshimu.

Safi sana Dogo Janja. Jaribu kukaa naye umueleze kuna tofauti kubwa kati ya kuwa baa na bungeni. mambo ya kijinga haya ya kutumia nguvu za mwili awaachie wala msuba wengine. Pale ni sheria na taratibu tuu ndiyo zinafuatwa. Ni akili ya mlevi tu ndiyo inaweza kufikiri kwamba naibu spika kwa mamlaka yake katoa amri kwa wanausalama wa bunge kumtoa nje KUB halafu eti yeye anaweza kutengua amri hiyo kwa kutumia misuli yake. SHAME ON YOU SUGU!:bored:
Nasari na wahuni wenzako, mnapaswa kushughulikiwa na dola. Wajinga sana nyie, hii nchi ni yetu sote sio mnakula kodi zetu halafu mnafanya utoto bungeni
Wapuuzi nyie hamna mambo ya kufanya zaid ya kushabikia fujo na aibu ztokeazo bungeni?ebu jiulizen n kina nan wamewatuma hapo na kwann sio kuleta itikad zenu zisizo na maslah ktk taifa hili.
Na ni uhuni mkubwa kutumia cheo ( dhamana uliyopewa) vibaya
Jiheshim we pimbi,huna mchango na uwepo wake pale,anafanya tunachotaka na sio unachotaka wewe bhahau,huo uchichiman aliokufundisha Mwigulu usi2letee nyambaf...Wapuuzi nyie hamna mambo ya kufanya zaid ya kushabikia fujo na aibu ztokeazo bungeni?ebu jiulizen n kina nan wamewatuma hapo na kwann sio kuleta itikad zenu zisizo na maslah ktk taifa hili.