Labda aseme mwingine lakini na sio Huyu,Balile ni Kweli watanzania tunasahau lakini sio kiasi hicho. Bado tuna kumbuka Kuwa wewe ni raisi wa na editor makanjanja na huu ndio msimu wenu wea Biashara, tunakumbuka article ya namna hii 2010 iliyoongelea lipstick ya mke wa Lowassa na namna viatu vya bwana mkubwa vinavyongaa kwa kiu. Wewe na hai kinda Maswi mnatofauti gani? How cheap unatia kinyaa ndugu yangu Kwani wameshaingiza zote ama nusu baada ya kazi? Ni pay role tu hata Kuwa Mhariri wea gazeti la kamala haujakusaidie kupata akii. Keep your opinions to yourself, hivi bado unaendeleaje Ile freelancer ya Rostam yenye engine ya RAV4?