"Tumeondokewa na wapendwa wetu"; hivi unawezaje kutoa amri ya kuua mtu halafu akishauawa useme nimeondokewa na mpendwa wangu?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
14,176
Reaction score
25,919
Kuna kauli nyingine ni wana siasa tu wanaweza kuzitoa. Lakini pia niliisikia kwa mume fulani aliua mke kisiri akawa anasema nimeondokewa na mpendwa wangu, baadae akajulikana yeye ndio aliua.

Jaribu kutafakari. Unafanya premeditated murder (uuaji uliokusudiwa) kwa kutoa amri kwamba hawa watu wapigeni risasi za kuua, sio kujeruhi. Na unahakikisha ili amri hiyo itekelezwe ipasavyo ulete askari wa kutoka upande ambao unajua hautakuwa na huruma au wa nje ya nchi.

Na baada ya kufanikisha uuaji uliokusudiwa unatoa kauli kwamba nguvu sahihi ilitumika mlitaka tufanyeje. Unazidi kukanyagia kwamba kama hukutaka mtoto wako auwawe kwa nini hukumzuia kwenda kuandamana. Halafu wanaokuuliza kwa nini umeua raia unawaambia "who are you?"

Halafu unahutubia ukisema tumeondokewa na wapendwa wetu.

Hivi ni mimi tu nahisi kuna kitu hakiko sawa sehemu fulani ya mwili au na nyie pia Wana JF?
 
Kuna kauli nyingine ni wana siasa tu wanaweza kuzitoa. Niliisikia pi kwa mume fulani aliua mke kisiri akawa anasema nimeondokewa na mpendwa wangu.

Labda alikua ana maanisha akina
Hassy Kitine
Cleopa Msuya
Jenister Mhagama
Job Ndugai
Abdullah Mwinyi
Philimon Sarungi
 
anasema tunachopenda kusikia, kaambiwa hivyo ...
 
MamaSamia2025 ni mchawi typical. Anamtoa mwanawe kafara kwa wachawi wenzake halafu msibani ndio analia zaidi.

Huyu mama asitutanie, arejeshe milli ya wanetu tuzike kwa heshima
 
Labda alikua ana maanisha akina
Hassy Kitine
Cleopa Msuya
Jenister Mhagama
Job Ndugai
Abdullah Mwinyi
Philimon Sarungi
Angeweka wazi basi ili tusiwe na tafsiri tofauti. Na nadhani alifaya makusudi kutoweka wazi ili kuwa politically correct. For her it is all about politics
 
Kuna kauli nyingine ni wana siasa tu wanaweza kuzitoa. Lakini pia niliisikia kwa mume fulani aliua mke kisiri akawa anasema nimeondokewa na mpendwa wangu, baadae akajulikana yeye ndio aliua.

Jaribu kutafakari. Unafanya premeditated murder (uuaji uliokusudiwa) kwa kutoa amri kwamba hawa watu wapigeni risasi za kuua, sio kujeruhi. Na unahakikisha ili amri hiyo itekelezwe ipasavyo ulete askari wa kutoka upande ambao unajua hautakuwa na huruma au wa nje ya nchi.

Na baada ya kufanikisha uuaji uliokusudiwa unatoa kauli kwamba nguvu sahihi ilitumika mlitaka tufanyeje. Unazidi kukanyagia kwamba kama hukutaka mtoto wako auwawe kwa nini hukumzuia kwenda kuandamana. Halafu wanaokuuliza kwa nini umeua raia unawaambia "who are you?"

Halafu unahutubia ukisema tumeondokewa na wapendwa wetu.

Hivi ni mimi tu nahisi kuna kitu hakiko sawa sehemu fulani ya mwili au na nyie pia Wana JF?
Elewa form four alipata D pekee tena ya kiswahili
 
Samuya ni mnafiki wa kiwango cha SGR.
 
Hana uchungu sababu waliouwawa ni wa Tanganyika na waliotumika kuuwa ni Wazanzibar wengi walikuja kulipiza kisasi
 
Back
Top Bottom