Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,436
- 4,241
Itakuwa mama kasafiri kwenda kula eid ya halali, hataki bughdhaWale wanafuata kanuni kama Utopolo...
Hawataki ujinga wa maelekezo ya Serikali...
Kwani mama Samia yeye kasemaje?
Itakuwa mama kasafiri kwenda kula eid ya halali, hataki bughdhaWale wanafuata kanuni kama Utopolo...
Hawataki ujinga wa maelekezo ya Serikali...
Kwani mama Samia yeye kasemaje?
Janzu hebu tutake radhi!,Tangu jana mwezi ulikuwepo.sema kuna mtu aliekuwaa akisubiliwa.
Waislamu wa janzu fupi wao leo wamejilia hawataki kusikia bakwata wanasemaje.
Hatujakunukuu vibaya mkuu , sisi tutamsubiri Mufti atamkeHatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.
Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu.
Kazi kwenu wahusika.
Nimesikia watu wanauulizia nikaona niwajulishe!!!