Tumeona mwezi hapa Dar-es-Salaam

Tumeona mwezi hapa Dar-es-Salaam

Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.

Kazi kwenu wahusika.
1620920482071.png
 
Tangu jana mwezi ulikuwepo.sema kuna mtu aliekuwaa akisubiliwa.

Waislamu wa kanzu fupi wao leo wamejilia hawataki kusikia bakwata wanasemaje.
 
Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.

Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu.

Kazi kwenu wahusika.
Ulivyo mkubwa kama nusu ya mfuniko wa ndoo ya 20 ltrs hii ngoma inaonekana umetoka tangu jana sema tuu mufti kafuata sheria za tff
 
mwezi umezeeka kabisa huu!!
haiwekan uwe Mkubwa kiasi hiki alafu bakwata watuambie kesho ndiyo sikukuu...nyie ndugu zetu wa upande wa pili mnalishwa matango Pori na sheikh Zuberi mpaka lini?
 
Endeleani kufunga mwezi utatoka kuanzia mwezi wa Saba.endeleeni na maombi ndugu zangu.
Tumenyanyaswa sana na hawa Bakwata.
 
Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.

Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu.

Kazi kwenu wahusika.
Mkuu ni kiporo hicho wenzako waliuona jana
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂😂 una mamlaka Mkuu ya kutangaza kuonekana kwa mwezi? 😜😜😜
Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.

Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu.

Kazi kwenu wahusika.
 
Tangu jana mwezi ulikuwepo.sema kuna mtu aliekuwaa akisubiliwa.

Waislamu wa janzu fupi wao leo wamejilia hawataki kusikia bakwata wanasemaje.
Wale wanafuata kanuni kama Utopolo...

Hawataki ujinga wa maelekezo ya Serikali...

Kwani mama Samia yeye kasemaje?
 
Endeleani kufunga mwezi utatoka kuanzia mwezi wa Saba.endeleeni na maombi ndugu zangu.
Tumenyanyaswa sana na hawa Bakwata.
Bakwata wamehongwa na sirikali ili kuikwepa Long weekend...

Sisi wanywa K Vant tumeamua kumwachia Maulana atende miujiza...

Kama alitufanyiam kwa mwendazake, Bakwata ni nini hata ashindwe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom