Tumeona makali ya TLS na Chama cha Madaktari. Je chama cha mainjinia kinaoneshaje makali yake?

kisikiji

JF-Expert Member
Feb 2, 2015
2,533
2,000
Mtoa post Engineer sio mtu wa sport sport, sasa ivi ni muda wa kupiga kazi tu, blabla hakuna. fani nyingine bila tila lila maisha hayaendi.
Mweleze asijejikuta anabakia na matamko ya vyama.
Si watu wanaotubania ni osha tu basi, sio matamko.
 
Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,327
2,000
Unapozungumzia kuvamiwa na wachina na wahindi hujanifanya nikukubakie. Kwasababu haiwezekani hao uliowataja wakatuzidi ujanja. Sababu ni kwamba
1:- Hii nchi inaishi kwa misaada na hakuna msaada usio na masharti yake.
2:- Mtu akitoa msaada lazima ampandikize mtu wake.
3:- Sisi tumekaba kwenye miradi ya wastani na maisha ya burudani yanaendelea hivyo hatuna mbwembwe ili msishtuke kua tunawamaliza.

Mpaka hapo umeelewa.

Ni wapi unapata msaada wa kisheria na kisha kuandikiziwa wanasheria kutoka nje.
 
Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,327
2,000
Mweleze asijejikuta anabakia na matamko ya vyama.
Si watu wanaotubania ni osha tu basi, sio matamko.

Soma vizuri post yangu. Kama ni matamko basi nyinyi ndiyo wataalamu wa matamko ya kisiasa mnapokuwa huku vyuoni. Au mlikuwa mnadesa na mkifika mtaani hakuna madesa!
 
demulikuy

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,047
2,000
Wanasheria wameweza kuhakikisha wanafaidi nchi yao hakuna mwanasheria kutoka nje ya nchi anayeweza kwa wakili Tanzania bila utaratibu maalum, na kwa hakika ni kama vile hawapo.

Nyinyi mainjinia mmevamiwa na vitoto vya kichina na vingine vihindi vyeusi halafu mnasema mnapigana kimyakimya. Mnapigana kimyakimya au mnapigwa hadi mnapigika na kuishia kukumbuka ubabe wenu kule vyuoni?
Mkuu Umenena, wanasheria wamehakikisha wanapenya mpaka katika matawi ya juu sana ya uongozi katika nyanza zote muhimu za nchi hii Tanzania Bara na Zanzibar. Tukubaliane kuwa TLS ikipiga chafya lazima serikali ijiulize kulikoni na ushahidi uko wazi. Wanasheria nchi hii wanajiamini sana. Bravo vyuo vyote vinavyoshiriki kutoa wanasheria. Kwetu sisi "Engineers" hali ni tofauti sana. Ni wajanja tukiwa vyuoni baada ya hapo utashangaa tunabaki na title tu ya "Engineer" basi. Zaidi ya walimu contribution yetu kwenye projects za umma ni minimum na nyingi ni chini ya kiwango, kwenye iconic projects zote za nchi tumebaki kuwa mafundi mchundo chini ya "Engineers" kutoka nje. Ndiyo sababu basi ERB, sijui IET hazina sauti yo yote kama TLS au MAT. In fact zaidi ya kudai ada za wanachama na kufanya Annual Meetings ambapo irrelevant issues huwa zinajadiliwa sioni zaidi ya hapo.
 
germanium

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
697
1,000

Ukweli mchungu
 
Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,327
2,000
Mainjinia wamekaa kimya wakati kampuni zao zinakufa,tenda zinatolewa jukwaani,mainjinia wenye kampuni binafsi wanashindwa kushiriki.

Tenda zote wanapewa TBA,halafu makampuni ya wazawa ni kufutiwa usajili kila siku

Kama kampuni zao zinakufa wakati tenda zikitoka basi huo ni uzembe wao na ndiyo tunayoongelea humu halafu wanaleta kelele za kijinga badala ya kutatua tatizo hilo.

Huwezi kusikia kampuni za wanasheria zinakufa kwa sababu uiyoeleza hapo juu.

Wanasheria wanajua kuilinda taaluma yao.

Mkuu Umenena, wanasheria wamehakikisha wanapenya mpaka katika matawi ya juu sana ya uongozi katika nyanza zote muhimu za nchi hii Tanzania Bara na Zanzibar. Tukubaliane kuwa TLS ikipiga chafya lazima serikali ijiulize kulikoni na ushahidi uko wazi. Wanasheria nchi hii wanajiamini sana. Bravo vyuo vyote vinavyoshiriki kutoa wanasheria. Kwetu sisi "Engineers" hali ni tofauti sana. Ni wajanja tukiwa vyuoni baada ya hapo utashangaa tunabaki na title tu ya "Engineer" basi. Zaidi ya walimu contribution yetu kwenye projects za umma ni minimum na nyingi ni chini ya kiwango, kwenye iconic projects zote za nchi tumebaki kuwa mafundi mchundo chini ya "Engineers" kutoka nje. Ndiyo sababu basi ERB, sijui IET hazina sauti yo yote kama TLS au MAT. In fact zaidi ya kudai ada za wanachama na kufanya Annual Meetings ambapo irrelevant issues huwa zinajadiliwa sioni zaidi ya hapo.
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,545
2,000
Mtoa post Engineer sio mtu wa sport sport, sasa ivi ni muda wa kupiga kazi tu, blabla hakuna. fani nyingine bila tila lila maisha hayaendi.
kwahiyo si sisi ndio tunawaajiri mtujengee majengo yetu? au, sasa kati yetu na ninyi nani mwenye hela, anayeajiri na yule anayekaa kusubiria kupewa tenda. mwanasheria wa kujitegemea ni mtu mwenye hela nyingi sana hasa ukijijenga vizuri kichwani. daktari hao unaowaona wameajiriwa serikalini, wana hospital au dispensary zao pembeni. hapo ni pa kushindia tu. na ndio maana ukiwatibua anaweza kuandika termination letter masaa machache tu na kwenda kwenye shughuli zake.

injinia kuna competition kubwa sana na kwa watz ndio kabisaa, kazi zenu nyingi wamechukua wakenya na wachina. mnachojenga nini ni barabara za changarawe tu. mnatia aibu. hamjaweza kuunda kitu chochote, hata sido wanawazidi, na veta. sasa degree zenu ni za nini? mmeishia kuajiriwa vibarua kwenye tender za wachina wanaokuja kupiga hela hapa wakati ninyi mkienda china au hata kenya tu hampati kazi. kazi zoote bora wanafanya wageni, ninyi mnawekwa vibarua wao, utasemaje mna akili, na mtaunganaje wakati mmepigwa na maisha huyo mtaani?
 
Kaka,

Hebu waeleze maana nilifikia mahali nikachoka ingawa nilianzisha thread. Mainjinia walidhani wakitoka chuoni wakiingia mtaani watatumia misuli kama walivyokuwa wanatumia kuongoza migomo kule vyuoni.

Huku mtaani tunakubali kuna uonevu lakini siku zote kupambana na uonevu kunahitaji akili. Nawasifu sana wanasheria na hawakosei wanapojiita "mwanasheria msomi" wanajua na wameweza kupambana na uonevu.

Bravo wanasheria wote na leo huko Arusha onyesheni mfano fani zingine. Again, Bravo wnasheria, mainjinia watazidiwa hata na waalimu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom