Tumemshauri amshonee mkewe uniform(sare) ya shule

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
Kuna baadhi ya wanaume hupenda wadada shauri ya uniform . Kwa mfano makundi ya wanafunzi, manesi akifika hospitali, askari. waitress wa hotelini ama barmaid wenye uniform.Sasa sijui kuna kitu gani kwenye uniform huwa tunamwambia akioa amtengenezee mkewe uniform ya shule flani ama bar flani
 
mpaka iitwe uniform lazima iwe inavaliwa na watu zaidi ya mmoja wenye interest moja na possibly wakiwa eneo moja..sasa hiyo uniform wife atakuwa anavaa na na nani ili maana kamili ipatikane.....rangi ya nguo haitengenez uniform
 

ukimaanishaa.....???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…