Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 998
- 736
Hawapo serious na kuongoza nchi zaidi ya kuleta masihala ili wapate ruzukuKwa nini isiwe CHAUMA?
Uongozi haujaribiwi. Kuipa nafasi saccos, ni kujirudisha nyuma miaka 50.Binafsi kwangu inamtosha,tuwape wengine tuone.Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone.
Binafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone.
Lugha nzuri yenye kuja hofu,kiukweli mnapenda kuitumia ili kuwatia hofu watanzania. Lakini kwa sasa tunahitaji chama mbadala wa CCM ili kuiondolea ile hali ya umungu mtu ccm na viongozi wake.Uongozi haujaribiwi. Kuipa nafasi saccos, ni kujirudisha nyuma miaka 50.
Acha hofu uongozi ni kujaribiwa hakuna mtu special kwenye uongozi. Pia hutoweza kumjua yupi anafaa pasi na kumjaribu.Nchi haifanyiwi majaribio kwa kukabidhiwa kwa washamba wa wazungu kila kukicha ni kulia lia na kutetea mabeberu
Nchi haifanyiwi majaribio kwa kukabidhiwa kwa washamba wa wazungu kila kukicha ni kulia lia na kutetea mabeberu
Ndiyo maana tunasema imetosha. Pia imetosha kuona bunge likinajisiwa kama bunge lilopita la ndugai. Sasa inatosha.Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.
Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.
Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.
Huyu mtu hatufai kabisa.
NEC iwe huru isiwe huru, watanzania tumeshasema kwa nguvu moja, Raisi wetu 2020- 2025 ni Tundu Antiphas LissuTatizo ni Tume ya uchaguzi (NEC) na polisi kuibeba ccm kinyume na matakwa ya wapiga kura.. Kura zikihesabiwa kwa haki, ccm inapumzishwa saa 3 asubuhi ya tarehe 28/10/2020
Nani mshamba kati ya jiwe na lisu? hata mzee makamba na kinana wanajua kuwa jiwe ni mshamba!! sasa wewe usiejua kuwa jiwe ni mshamba umetoka wapi?Nchi haifanyiwi majaribio kwa kukabidhiwa kwa washamba wa wazungu kila kukicha ni kulia lia na kutetea mabeberu
Hivyo ulivyovitaja vinamundolea sifa ya kuwa kiongozi. Tunasema inatosha sasa.Hafai, akapumzike chato!
1- anahasira
2- anapenda visasi
3-mbinafsi
4- mkurupukaji
5-sio mkweli
Akapumzike!Hivyo ulivyovitaja vinamundolea sifa ya kuwa kiongozi. Tunasema inatosha sasa.