samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,212
Hivi ni nani ameturoga kama taifa mpaka tumefikia hatua ya kuwa wapiga ramli tena zile chonganishi?.
Watu milioni zaidi ya 50 tunashindwa kukubaliana na kujua tatizo ni nini mpaka tupo kwenye tope?
Hivi watawala hamuoni aibu mnapotembelea kwenye nchi za wenzetu na kuona mambo yanavyoenda yakiwa yamenyooka?
Hivi tunashindwaje kujenga kizazi na kuwa na watu timamu kwenye mifumo yetu, na hii nguvu kazi ya watu zaidi ya 50 millioni ikatumika ipasavyo??
Inakera na kuumiza..