Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Aisee bora mrema aongee naye ili awe mgombea wa tlp
Huyo sinunui habari yake. Ni moja kati ya watu waliotukwamisha kufikia hapa tulipo.
1. Kakwamisha katiba mpya kwa maslahi ya chama chake.
2. Kavuruga uchaguzi wa Zanzibar kisanii japo analaumiwa Jecha
3. Chini ya uongozi wake tangu akiwa waziri mpaka ukuu wa kaya mikataba imekuwa ni mibaya hasa kwa taifa.
4. Ufisadi ulitamalaki hasa kwa makada wengine wakiiba mabilioni na kuhukumiwa miaka miwili jela na wengine wakibemberezwa kurdisha bila mafanikio
Ili yule mtu wa nyumba 70 amalizie nyumba zake!Gombea baba Kikwete
Ili yule mtu wa nyumba 70 amalizie nyumba zake!
Pumba zako pikia mbwa wale...!!Huyo sinunui habari yake. Ni moja kati ya watu waliotukwamisha kufikia hapa tulipo.
1. Kakwamisha katiba mpya kwa maslahi ya chama chake.
2. Kavuruga uchaguzi wa Zanzibar kisanii japo analaumiwa Jecha
3. Chini ya uongozi wake tangu akiwa waziri mpaka ukuu wa kaya mikataba imekuwa ni mibaya hasa kwa taifa.
4. Ufisadi ulitamalaki hasa kwa makada wengine wakiiba mabilioni na kuhukumiwa miaka miwili jela na wengine wakibemberezwa kurdisha bila mafanikio
vp on other hand? na mazurii aloyafanya je? kila mtu na mapunguf.Huyo sinunui habari yake. Ni moja kati ya watu waliotukwamisha kufikia hapa tulipo.