Tumekosa watunzi wa Nyimbo kama za Banza Stone RIP Mwalimu

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Kiukweli nyimbo za dansi zimepotea sana yanaimbwa makelele tupu leo nimepata kusikiliza nyimbo za Marehemu Banza Stone hakika zilikuwa nyimbo haswaaaaa za dansi

wasanii wa dansi shida nini jamani siku hizi imekuwa mapenzi mapenzi tu nyimbo nzima

RIP Banza stone

search nyimbo kama Umepotea, Maisha, elimu ya mjinga, masimango
 

Attachments

  • 08Masimango.mp3
    8.7 MB
Daaah kaka umemuongelea mtu alikuwa vizuri sana kwenye utunzi na uimbaji.RIP Ramadhani Masanja (Banza Stone)
 
Back
Top Bottom