Tumejiegeshea tuuu

Tumejiegeshea tuuu

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
171
Mapenz mengi yanaonyesha watu hawajarizika na wapenzi walonao kwa kua wengi wapo wakisubiri kuwapata wapenzi ambao wao wanahisi ni bora kuliko walonao.
Na pindi wakifika huko nako kifanyikacho ni hicho hicho na ndo sababu kubwa ya mapenz mengi kutodumu au kuwa na migogoro isiyoisha.
 
Kuridhika mapenzini ndio kupo vipi?
 
Kumwona mwenzio n chaguo sahihi kwa hali zote zile
 
Mapenz mengi yanaonyesha watu hawajarizika na wapenzi walonao kwa kua wengi wapo wakisubiri kuwapata wapenzi ambao wao wanahisi ni bora kuliko walonao.
Na pindi wakifika huko nako kifanyikacho ni hicho hicho na ndo sababu kubwa ya mapenz mengi kutodumu au kuwa na migogoro isiyoisha.

Unachosema kina ukweli, ila sijaelewa una maanisha nini kusema "tumejiegesha tuuu" kwenye title ya thread yako!
 
Tafiti yake ina mapungufu mengi ila ngoja nijaribu kumwelewa tu walau kwa leo. Ijumaa ujue watu wanachokaga mapema kweli. Ushapata hata msosi wa mchana mkuu?
 
Back
Top Bottom