Wakuu,
Pilikapilika za uchaguzi zipo kwenye kilele. CCM na CHADEMA wanakabana koo huku CUF wakichukua kasi. Kila mmoja ana matumaini ya ushindi kwa chama chake.. Lakini tusisahau ni mmoja tu atashinda (hasa tukizungumzia nafasi ya urais).
Sasa swali, Je kweli watu wamejiandaa kupokea matokeo? Kama tayari Mola ashukuriwe lakini kama bado na hasa ya kushindwa naona tatizo mbele. [/SIZE
Matayarisho ya kisaikolojia ni muhimu na wana JF tunapaswa kuongoza hili. Tujiulize,
Je tupo tayari kupokea matokeo ya kushindwa kwa Wagombea/Mgombea wetu?
Wakuu,
Pilikapilika za uchaguzi zipo kwenye kilele. CCM na CHADEMA wanakabana koo huku CUF wakichukua kasi. Kila mmoja ana matumaini ya ushindi kwa chama chake.. Lakini tusisahau ni mmoja tu atashinda (hasa tukizungumzia nafasi ya urais).
Sasa swali, Je kweli watu wamejiandaa kupokea matokeo? Kama tayari Mola ashukuriwe lakini kama bado na hasa ya kushindwa naona tatizo mbele.
Matayarisho ya kisaikolojia ni muhimu na wana JF tunapaswa kuongoza hili. Tujiulize,
Je tupo tayari kupokea matokeo ya kushindwa kwa Wagombea/Mgombea wetu?
Jamani wanachadema tusije kimbiana humu jf, baada ya uchaguzi. kwani nakumbuka moja ya chaguzi ndogo zilipokwisha gazeti la tz daima lilipotea online. tuvumilie kwa machungu yatakayowapata lakini hiyo ndo politics, kuwa kuna kushindwa pia. nasema hiyo kwa sababu mnajipa matumaini kupita hata uhalisia wa hali ilivyo.
mkuu, the good!
una akili sana broda!
hakika sijasikia mtu hapa ndani akiongelea jambo la busara hivi katika siku za karibuni!
kwa kuangalia tu, utaona kwamba wengi sana tuko optimistic juu ya matokeo, and we just sound as if we hope only for the fovourable results!
lakini shilingi ina pande mbili wakuu!...kushindwa ni likely result, hope you know probabilities!
mimi binafsi napenda kuchukua nafasi hii kuwaasa wenzangu kwamba jukumu letu si kulalamikia tu tutakapoona mtu tusiyetegemea ameshinda, lakini tunawajibika kusimamia kura zetu mara baada ya kupiga kura ili kuondoa grounds za malalamiko yasiyokuwa na ulazima!..
kama mtu atajiridhisha kuwa hakuna faulo iliyofanyika basi ana kila sababu ya kupokea matokeo kwa jinsi yatakavyokuja!
nawasilisha!