Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,418 Dec 5, 2025 #1 Waulize zile PHD,dokta, professor wamezitoa wapi bila kuwafata tunaowatishia. Leo tunauwezo wa kuwatishia wakati matundu ya choo msaada toka kwao. Madawa,uzalishaji,wanunuzi wa madini,wawekezaji wakubwa ndio tuna watishia.
Waulize zile PHD,dokta, professor wamezitoa wapi bila kuwafata tunaowatishia. Leo tunauwezo wa kuwatishia wakati matundu ya choo msaada toka kwao. Madawa,uzalishaji,wanunuzi wa madini,wawekezaji wakubwa ndio tuna watishia.
O Omukisa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,559 Reaction score 3,114 Dec 5, 2025 #2 Who are you?
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,631 Dec 5, 2025 #3 Tulishasema yule mama ni yuda iskarioti hamkusadiki.