Dharra
JF-Expert Member
- Jun 23, 2017
- 1,661
- 2,975
Hapa ndipo wabongo tunafeli, sijui ni nani alieturoga kwakweli mtu akipata tatizo anasukumizwa huko, Chama fulani walipata matatizo wakamsukumizia mtu uraisi huko. Sasa kila siku tanaomba maombi Mungu atupe makazi mema ya milele, mtihani mdogo tu unafeli, yaani hapo ni sawa na kumuhukumu binti kifo. Alichotakiwa afanye hapo ni kupeleka taarifa kwanza kwa wazazi halafu akae chini aone ni jinsi gani ya kumsaidia kupata matibabu. Unaenda hata kwa Mamii Salma kikwete kulia ili matibabu yapatikane. Mama Salma kikwete kila siku alikuwa anasema hapa mtoto wa mwenzio ni wako. Lakini sisi siku zote kwenye kutoa hatukosi sababu mia kidogo. Nashangaa hata Cajojo nae yupo tu huko huko.