Hawana njia nyingine hawana ushawishi kwa wananchi wanaenda enda tu wamechoka sana aibu kwao ni kubwa na kinachowaweka hadi saivi ni kulinda mali zao za wiziLakini hiyo ya "kugeuza kibao" haikuwa sababu ya kuwaua watu wa CHADEMA.
Sasa iwepo hofu au isiwepo, ni jukumu la waTanzania wasiokubaliana na upuuzi huu kuwakataa na kuwaondoa kwa njia zozote zitakazowezekana..
Na kwa vile wanayo hofu tayari, maana yake ni kwamba kuua ndiyo njia pekee waliyobaki nayo kuendelea kuwa madarakani.
Umeulizwa swali rahisi tu. Toa mifano ya "matendo ya kikatili", ya kuharibu UTU wa wanaCCM uliofanywa na hao CHADEMA kwa "adui zao" CCM.Mkuu wangu mimi nasikiliza sana Hotuba za Viongozi wote. Labda nikeambie tunkwamba wote hutumia neno hao MAADUI ZETU kama ni Upinzani. Huamini nitazieeka hapa.
Acha upotoshaji usio na tija, bunge maalum la katiba halikuvunjika bali lilienda hadi mwisho, ikapatikana katiba pendekezwa iliyokuwa inasubiri kura ya maoni. Ila alipoingia Magufuli akasema hakuahidi katiba mpya kwenye kampeni zake. Sema kundi la Ukawa liligomea kuendelea na bunge lile, baada ya kuona wabunge wa ccm wakichezea maoni ya wananchi yaliyokuwa kwenye rasimu ya Warioba.Mkuu wangu, ukiwa Kiongozi ikiwa mabadiliko mnayoyataka hayaendani na fursa nilizonazo unategrmea nani atakubali?
Kumbuka Bunge la Katiba lilivunjika kwa sababu pande mbili hazikuafikiana na ukitazama sababu zenyewe tunarudi pale pale hoja zote hazikuzingatia UTU wetu bali tofauti zetu - Tuliishia Patupu.
Magufuli aliandaa ukumbi bila kujuwa sherehe itakuwa vipi, Samia kaleta sherehe iliyosheheni burudani ambazo waTanzania walijisahaulisha kuwa zilikuwepo chinichini miongoni mwao tokea uhuru.Acha upotoshaji usio na tija, bunge maalum la katiba halikuvunjika bali lilienda hadi mwisho, ikapatikana katiba pendekezwa iliyokuwa inasubiri kura ya maoni. Ila alipoingia Magufuli akasema hakuahidi katiba mpya kwenye kampeni zake. Sema kundi la Ukawa liligomea kuendelea na bunge lile, baada ya kuona wabunge wa ccm wakichezea maoni ya wananchi yaliyokuwa kwenye rasimu ya Warioba.
Hapana. Utakuwa umechanganya mwaka wa hiyo Katiba ya Zanzibar, na mabadiliko mengine yaliyofuata wakati huoHivi ilikuwaje Zanzibar wakaandika katiba yao 1984 yenye kuifanya Zanzibar huru bila Tanganyika kupewa Uhuru,na wasomi pamoja na Mwalimu Nyerere wakaangalia na kuacha hiyo katiba ifanye kazi wakati Tanzania bado ipo?
Shukran saana, kwa hoja hii ya msingi kabisa ambayo hata mimi yanipa shida kusema kwa uhakika tunawezaje kutoka hapa.Nimekuelewa mkuu. Unayo hoja ya msingi.
Sasa tunaomba muongozo wa namna gani tutatekeleza suala la sisi wenyewe kukubali mapungufu yetu kimaadil. Nani anaanza kukubali? Nani anafuata? Nani anasimamia zoezi la kukubali mapungufu? na maswali.mengine ya namna hiyo.
Kisha ni nani atasimamia.kuhakikisha upungufu wa kiamaadili haujitokezi tena? Na anapewa instruments zipi kuhakikisha hili linatekelezeka?
Natanguliza shukrani kwa majibu.
Marekani katika siasa zake husema wazi Russia ni Adui zao, wamewahi kuuana? Au kwako wewe Uadui ni vita tu! Hata mauaji ya Wana Chadema mimi sina Ushahidi kuwa ni CCM ila nayasoma. Acha mauaji najua Mbowe leo hii ni Adui wa Chadema hii haifichiki.Umeulizwa swali rahisi tu. Toa mifano ya "matendo ya kikatili", ya kuharibu UTU wa wanaCCM uliofanywa na hao CHADEMA kwa "adui zao" CCM.
"Neno "adui" katika maswala ya kisiasa unalitafsiri vipi kuwa kusigina UTU wa mtu mwingine?
Nakushukuru sana Mkuu.Nimeandika haya kama mtazamo na maoni yangu naomba sana isitafsiriwe vinginevyo.
Kama mtu umejipachika hakuna atakaye kuheshimu hata ufanyeje!Leo hii nimechukua zaidi ya masaa manne kuwasikiliza viongozi wastaafu, maprofesa na wadau mbali mbali katika mdahalo uloandaliwa na TLS.
Hakika nimejifunza mengi na yanilazimu kuwashukuru sana Mzee wetu Jaji Warioba, Profesa Shivji, Mwanasheria kutoka Kenya, Profesa Tibaijika, viongozi wa vyama vya Siasa na taasisi nyinginezo hususani TLS wenyewe. Wote kwa ujumla wao wamezungumzia mambo muhimu kwa mustakabali wa Taifa letu.
Pamoja na yote yale wameniachia maswali magumu zaidi nimekaa na kujiuliza hivi tatizo hasa lipo wapi? Na tumefika hapa kwa sababu gani?
Kubwa zaidi lilojitokeza kwangu linatokana na hotuba ya Profesa Shivji alipozungumzia Misingi mikuu ya Demokrasia akifafanua juu ya pande mbili yaani upande Wananchi na upande wa Utawala. Na kilichojitokeza wazi kwangu ni Kupotea thamani na heshima ya UTU wetu. UTU ndio kiashiria cha ujenzi na usimamizi wa Uhuru na Usalama.
Taifa letu limepoteza UTU kiasi kwamba Utawala hauthamini wala kuheshimu Wananchi na Wananchi hawawathamini wala kuheshimu Viongozi wake. Haiishi hapo, tumefikia kiasi kwamba Utawala hauheshimu viongozi wenzao na Wananchi hawathamini wala kuheshimu Wananchi wenzao.
Na katika hali hii, Uhuru na Usalama wa wananchi upo hatarini kama ilivyo kwa viongozi wenyewe hawaaminiani wala hawaheshimiani isipokuwa kwa yule mwenye nguvu ya utawala na fedha, hii ndio Tanzania ya leo (status quo)
Swali linakuja tumefikaje hapa? Naamini kila mtu ana mtazamo wake lakini binafsi yangu akili yangu inanambia yote haya yametokana utovu wa nidhamu katika miiko na maadili ya UTU wetu kwa kuiga mifumo ya kigeni ambayo ilidhalilisha mila na tamaduni zetu kama ni misingi ya kale (primitive) ilopitwa na wakati.
Mifumo ya Demokrasia tuloichukua ndio chanzo cha kuharibika kwa misingi ya Demokrasia kupitia mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1984 na 1992 upande wa Jamhuri pia Uandishi wa Katiba ya Zanzibar mwaka 1984 na mabadiliko yalofuatia mwaka 2002. Isipokuwa nitaacha pembeni Katiba ya Zanzibar, hii inahitaji mada nyingine tofauti kabisa.
Najua hoja yangu inahitaji mjadala mpana zaidi lakini niseme kwamba mabadiliko haya ndio mwanzo wa matatizo yote yanayofuatia katika miongo tofauti ya Kiutawala kufikia leo hii.
Katika makosa makubwa yalofanyika ni kuondolewa kwa Miiko na Maadili ya Viongozi hivyo kupoteza Sifa zinazotakiwa za viongozi wetu Kitaifa. Kwa nafasi walizokuwa nazo viongozi serikalini, Wabunge na hata majaji wakaanza kumiliki utajiri pasi kuulizwa wamepataje mali na utajiri huo, hii njia panda ndio ikawa mwanzo wa mmomonyoko wa maadili na chachu ya rushwa kuzaliwa.
Jambo la pili lilikuwa ujio mfumo wa Vyama Vingi ambavyo havikuzingatia misingi ya Demokrasia ( Uhuru, Utu na Usalama) bali ilikuwa ni tiketi ya jicho la Uheshimiwa na kuingia Ikulu kutawala (mfumo wa Vyama vingi). Vyama vingi ndivyo viloweka nadharia ya kina nani watakuwa Waheshimiwa kati ya Wananchi wote na hii ikazaa tamaa ya utukufu wa nyadhifa hizo. Hakuna Chama hata kimoja kinachosimamia itikadi na Sera zake wakati wote ila kulingana na fursa zinazojitokeza.
Katika mukhtadha huo tulipoteza Siasa safi za vyama Kiitakadi, hasada ikachukua nafasi baina ya vyama vya Siasa, viongozi kwa viongozi, Wananchi na vyama pinzani na kibaya zaidi rushwa na upendeleo vikatumiwa kama zana katika teuzi toka chaguzi za ndani ya Vyama vya Kisiasa hadi Viongozi wa Kitaifa – Yakaibuka makundi ya timu za Wana, hasada ikazaa Chuki na Uadui matokeo yake UZALENDO kwa Taifa letu UKAPUKUTIKA.
Kwa hiyo tukiacha hoja ya Katiba Mpya pembeni, sisi Watanzania tuna wivu na chuki za kuhasimiana wenyewe kwa sababu ya fursa za madaraka na utajiri zimeletwa kupitia vyama vingi.
Viongozi waliopo madarakani hujiona wapo katika nafasi adimu sana ya Utajiri wa hadhi na mali na wanajua kuna macho ya wivu dhidi yao hata kama wanayofanya nia njema ama kinyume cha misingi ya demokrasia, bado utachikiwa tu. Siasa zetu zimekuwa ni za Ukinzani ambazo kiitikadi hazifanani kabisa na Upinzani kwa nia, dhamira na malengo ya Demokrasia.
Tujiulize wenyewe mpaka hapa tumefika ni viongozi wangapi wameuawa kwa ajali, risasi au sumu na hakuna watu walotiwa hatiani wala kuchukuliwa hatua. Nini hasa sababu za viongozi hao kuuawa? Bila shaka ni kunatokana na UADUI wa kisiasa walojenga dhidi ya kiongozi ama viongozi wengine iwe kwa nia safi au mbaya.
Wivu na Chuki sii lazima vitumike kwa wale washindani tu bali inaweza toka chini kwa wale wanaotaka kufika pale kiongozi alipofika ama kiongozi kulinda maslahi yake dhidi ya wale wanaotaka nafasi yake.
Kwa hiyo tunapozungumzia leo Maombolezi, Maridhiano na sijui Katiba Mpya ni muhimu kwanza sisi wenyewe tukubali mapungufu yetu kimaadili ili TUBADILIKE - Heshima ya Utu wetu na Uzalendo kwa Taifa ni utamaduni ulopitwa na wakati.
Hatuwezi fanya maombolezi ambayo baadhi yetu hawaoni umuhimu wala sababu. Hatuwezi fanya Maridhiano kwa kuwekeana masharti yasiyojali Utu wetu na Uzalendo kwa Taifa hili bali maslahi ya mtu au chama.
M inwisho hatuwezi kuwa na Katiba mpya inayotokana na maoni ya Wananchi wenye wivu, chuki na uadui isipokuwa Katiba lazima iwe ni mwongozo wa Wananchi hao bila kujali tofauti zao - Katiba ni ya Wananchi iheshimiwe na wote.
Maasalaam
Hakuna sehemu CCM itakwepa hili
Tumefika hapa kwasababu ya CCM
Kila wanayofanya na wanayofikiria kufanya ni kusalia madarakani
Kwasababu tuu inajulikana siku wakikubali mabadiliko ndoutakua mwanzo wa kulipia Yale waliyosababisha ndani ya miaka zaidi ya sitini kwenye nchi ya Tanganyika
Nadhani unatazama upande mmoja tu wa sarafu kwa sababu kumbuka Nyerere alipata upinzani mkubwa sana, tena naweza sema ni rais alokoswa koswa sana kupinduliwa kuliko marais wrngine wote. Toka anaapishwa hadi anastaafu ilikuwa sii.shwari.hata kidogo.KWANZA KABISA, wafuasi wa CCM watambue na kukubali kuwa chama chao ambacho ni chama dola kimeunda na kulea mfumo wa kiimla (authoritarian) ambao una kasoro za msingi zilizoleta madhara makubwa sana kwa taifa na wananchi kwa ujumla. Ni mfumo ambao umetumika kuongoza nchi hii tangu awamu ya kwanza. Muda wote huo umekuwa ukitegemea utashi wa mtu mmoja, Rais, na kundi lake (inner circle). Mtu mmoja katika kiti cha uRais wa JMT (na uenyekiti wa CCM) amekuwa na mamlaka yote juu la nchi na vyote vilivyomo absolute power.
Ni kukosa uelewa au hila kutaka kulinganisha CCM na vyama huru vya siasa.
Rais (wa CCM) akiwa mwema na mzalendo kwa nchi yake kama alivyokuwa JKN (Nyerere) - benevolent dictator - wananchi wanakuwa na amani na kushiriki shughuli za maendeleo kwa juhudi kubwa. Rais akiruhusu utawala wa sheria na uwazi kama awamu za pili, tatu na nne, angalau watu wanaongea, taasisi zinafanya kazi na taarifa muhimu zinasambaa kiasi chake. Rais akiamua kupuuza katiba, kupuuza utawala wa sheria, kuzuia uwazi na kutawala kwa hofu, vitisho, mateso, udhalilishaji, hata mauaji kwa kutumia vikundi vya mauaji (hit squads), nchi inaingia gizani, unafiki, uchawa, na ujinga (idiocy) vinatamalaki. Hizo ni awamu za 5 & 6.
Endapo, wafuasi wa CCM hawataona hayo kuhusu chama hicho na kukimbilia kujificha kwenye udini, muungano, jinsia, watu fulani fulani (individuals), CHADEMA, n.k., hakika safari itakuwa ndefu sana kuelekea kwenye ufumbuzi.
Yaani hawa kwa vile wamewaua cdm wanahofu wasije kugeuziwa kibao
Kwa hiyo wewe kujitoa kwa wadau wa UKAWA na taasisi nyingine unaamini Katiba ile Pendekezwa ndio ilipata maamuzi halali kabisa ya Bunge lile?Acha upotoshaji usio na tija, bunge maalum la katiba halikuvunjika bali lilienda hadi mwisho, ikapatikana katiba pendekezwa iliyokuwa inasubiri kura ya maoni. Ila alipoingia Magufuli akasema hakuahidi katiba mpya kwenye kampeni zake. Sema kundi la Ukawa liligomea kuendelea na bunge lile, baada ya kuona wabunge wa ccm wakichezea maoni ya wananchi yaliyokuwa kwenye rasimu ya Warioba.
Najuwa wewe ni mtu mbishi.Marekani katika siasa zake husema wazi Russia ni Adui zao, wamewahi kuuana? Au kwako wewe Uadui ni vita tu! Hata
Mimi nafikiri tuachane kabisa sasa na hili swala la Katiba, ambalo ni wazi Samia na Genge lake wameamua hawawezi kuruhusu bila ya shurti ambayo inaweza kuwa ni ya kuuana...wamewauwa kwanza.
..halafu ndio wameanza kuogopa kugeuziwa kibao.
..sasa jiulize kwanini waliwauwa wenzao?
..Katiba Mpya na bora haitaruhusu kulipiziana visasi, na kuchukua sheria mkononi.