mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 809
- 817
Habari WanaJf Twende Moja Kwa Moja Kwenye Kujifunua Macho
TUMEDANGANYWA SANA:
Siyo kwa ubaya,lakini binafsi huwaga najitenga mara nyingine alafu najiuliza maswali magumu ambayo mengine nakosa kabisa majibu.
Nimeona tukijitesa bila sababu,kwa kuendana na maisha,imani,mawazo na maamuzi ya watu wengine.Ndo maana nasema tumedanganywa na tukakubali kudanganyika sana.Ebu yatafakari haya:
Nani alituamulia kwamba kula ni mara mbili kwa siku?Kwanini hatukuamua wenyewe wafrika kwamba kwetu sisi hata mlo moja inatosha?
Nani alituamulia kuwa mwisho wa masomo ni chuo kikuu,na kustaafu ni miaka 60?Kwa nini sisi wafrika hatujaamua kwenda tofauti na wao?
Nani alituamulia kwamba mwaka ina miezi 12 na miezi hiyo hailingani urefu,eti inaishia siku 28,29,30 na 31??Kwa nini sisi tusingekuwa na idadi ya miezi yetu kulingana na mwezi inavyo andama?
Eti siku ina masaa 24(2+4=6)Alafu wakatulazimu kutii 666 kwa kuiweka katikati ya mchana,na katikati ya usiku?Na kuifanya 666 kututawala kwa kuzingatia namba yake kuitawala nyakati zetu....subiri niwaonyeshe kwa mifano hai kabisa:
Walianzia kwenye tafasiri ambako tumepigwa bila wasomi kuhoji maswali,kuna siri gani humu kwenye kuhesabu mida/saa?Ebu yatafakari haya aisee:
1(Moja/One),2(Mbili/Two),3(Tatu/Three),4(Nne/Four),n.k.Sasa ikija kwenye muda/saa,inakwenda tofauti,eti saa 1,ni 7 Oclock,saa 2 ni 8 Oclock,saa 3 ni 9 Oclock...n k.Umewahi kujiuliza ni nini?Angalia, 7 Oclock ukitoa 1=6. Saa 1(asubuhi au usiku),ni 7 O'clock, maanake ni mizunguko saba ya dunia...ila hiyo 7-1=6! Saa 2 ni 8 O'clock,8-2=6
Saa 10 ni 4 O'clock,10-4=6!...jaribu hesabu hiyo kwa saa yoyote utaona zote = 6!
Na jee unafahamu kwamba hata kwenye siku za wiki tumedanganywa na kupigwa nako vibaya sana?Sasa kama Jumamosi(1) ni Saturday, Jumapili(2) ni Sunday, Jumatatu(3) ni Monday, Jumanne(4) ni Tuesday na Jumatano(5) ni Wednesday, kwanini Thursday siyo Jumasita(6)alafu Friday ikawa ni Jumasaba(7) au Sabato?Kwa nini kwanzia Thursday jina la siku likabadilika na kuitwa Alhamisi? Hakika kuna sehem tunadanganywa baado.
Na kama Sabato ni Jumamosi,kwa nini iitwe jumamosi na siyo Jumasaba(7)?
Usiishi kwa vipimo vya duniani,ishi maisha yako kwa vipimo vyako,kwa ubora wako,shindana nawewe mwenyewe usishindane na watu,jitahidi kumpendeza muumba wako,muheshimu Mungu kwa njia zote,kadri uwezavyo, tenda mema siku zote kwa wenzio,usimuonee mtu yoyote,wapende watu,wasaidie panapowezekana,usimnyanyase binadam mwenzio,na MUNGU ATAKULINDA SIKU ZOTE NA KUKUBARIKI.