Tumechoshwa nazo sasa! Tumekinai

Tumechoshwa nazo sasa! Tumekinai

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
IMG-20170511-WA0003.jpg
 
Yani kifupi izo picha zimetufikaa hapaaa!!!!! Juu ya macho kutokea unyayonii
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Watu wenyewe hao wanatumia madawa, mwili feki huo
 
Acha ale ujana uzee ukimkaribia atatamani azifute Picha hizo.
Hata dadangu kipenzi(Ray C) alikuwa zaidi yake. Ila leo hii hadi anatangaza Nia ya kuolewa, kasahau alivyokuwa anapost enzi za Ujana wake.
Nisamehe sana dada
 
Atakuwa mke bora sana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Duuuu aise hiv hawa viumbe wanaelekea wapi sijui?
 
Back
Top Bottom