Tumechoka na post zenu form six

Tumechoka na post zenu form six

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Nanyie f6 mliopata vyuo si mtulie daa siye wa nacte mnatupa shida tuu pressure baadhi ya watu wako ICU wanaumwa kutokana na NACTE kuchelewa kutoa selection.PLZ WALE WENZANGU WA NACTE HEBU TUWE WAVUMILIVU.
 
kuna watu humu ndan wamefel form 6 haswa na hawana hata sifa ya kuomba chuo je na wao wajiskie vipi? kwenda ICU ? cha muhimu vumilia tu kila mtu ana uhuru wake.
 
Kama umekosa chuo cha afya diploma or certificate, kuna chuo kinahitaj wanafunz hasa CO and nursing
 
Back
Top Bottom