JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 220
mmechoka wangapi? Nakama hamtaki simuache kusoma hizo post au hamieni facebook ndio panawafaa
Umma gani wa Watanzania wanaomtaka, labda wewe unayekula kwenye mfuko wake!!!!!! Peleka huko uozo wa ufisadi hatutaki basi kula nyembe!!!!!!!!Sema umechoka wewe! Umma wa watanzania unamhitaji sana Lowassa.
Tumechoka na mipango mbalimbali inayofanywa kwa lengo la kumsafisha waziri mkuu mjiuzulu Edward Lowassa!
Hivi ni sababu zipi za msingi za kumsafisha Lowassa ambaye tayari ameshachafuka wakati kuna watu wengi tu wenye sifa za kushika hizi nyadhifa ambazo Lowassa anang'ang'aniziwa? CCM wanamuita gamba, CHADEMA wanamuita fisadi! Je, sisi raia wa kawaida kwa nini tunamng'ang'ania Lowassa? Hivi watanzania kiongozi lazima awe anahonga watu pesa na vijizawadi ndo achaguliwe? Lowassa amekuwa mzigo, hatufai! Siyo lazima Lowassa awe rais wa Watanzania! Wanamsafisha Lowassa wafikirie mara mbili mbili!
Naweka jamvini..!!
Tumechoka na mipango mbalimbali inayofanywa kwa lengo la kumsafisha waziri mkuu mjiuzulu Edward Lowassa!
Hivi ni sababu zipi za msingi za kumsafisha Lowassa ambaye tayari ameshachafuka wakati kuna watu wengi tu wenye sifa za kushika hizi nyadhifa ambazo Lowassa anang'ang'aniziwa? CCM wanamuita gamba, CHADEMA wanamuita fisadi! Je, sisi raia wa kawaida kwa nini tunamng'ang'ania Lowassa? Hivi watanzania kiongozi lazima awe anahonga watu pesa na vijizawadi ndo achaguliwe? Lowassa amekuwa mzigo, hatufai! Siyo lazima Lowassa awe rais wa Watanzania! Wanamsafisha Lowassa wafikirie mara mbili mbili!
Naweka jamvini..!!
mmechoka wangapi? Nakama hamtaki simuache kusoma hizo post au hamieni facebook ndio panawafaa
Sema umechoka wewe! Umma wa watanzania unamhitaji sana Lowassa.
MPONOELO, umma wa watanzania upi unaomuhitaji Lowassa? Na wanamuhitaji kwa lipi?
Alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani. Viva sana EL.
Mbona hata hii habari ni ya lowassa???
Mmechoka nyie kina nani?