Tumechoka kusubiri TCU

Mbona nidham 2naijua, nyie ndo mkajifunze ili muache kutoa ahadi hewa
 
tuendelee kuvuta subira mkuu walisema sept,ingawa ahadi za uongo zinachosha.
 
Nilitegemea nisikie mmejazana Msasani. Mapga kelele sana. Tetes ni kwamba server ime corrupt huwa TCU hawana baccup. Watatoa tangazo mtume upya maombi.
 
Hata mimi nimesikia kuwa wale wahindi walivyohaka website yao wamefuta data, wako bizzy kuzitunga upya.
 
Hili nalo neno: hakuna kitu kibaya kama nchi kutegemea makampuni makubwa ya IT yanayomilikiwa na wahindi kushikilia shughuli muhimu zenye/za kiusalama. Tutegemee wikileaks nyingi.
Hata mimi nimesikia kuwa wale wahindi walivyohaka website yao wamefuta data, wako bizzy kuzitunga upya.
<br />
<br />
 
tulia dogo kelele za nini?
pamoja na kutulia, tcu bado wanafikra za upande mmoja tu kuwa wanafunzi wote wanaoingia vyuo wanatoka moja kwa moja shule!! Kuna watu wengine wameajiliwa na wanahitaji kuwa na admission letters ili waombe ruhusa kwa ajili ya masomo yao, na hali halisi inajulikana kuwa mpaka upata ruhusa ni mchakato mrfu sana unahitaji maandalizi ya mapema sana!1!!! Na pia ndani ya hawa wanafunzi wengine wangekuwa na admission letters mapema wangeweza kuomba ufadhili wa masomo yao toka sehemu mbalimbali ili kuongeza sehemu ambayo bodi ya mikopo haijaweza kutimiza mahitaji, na ingewezekana pia kuacha kutegemea bodi!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom