Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
Wanaoandamana ni watu wasio na akili na wasiotumia kichwa kufikiri. Kwani mnapoandamana kuna suluhu yoyote inapatikana? Sanasana mtaishia kupigwa mabomu na marunguusipotambua umuhimu wa maandamano utarazimika urudi shule.Maandamano yana umuhimu sana kuliko unavyofikiri na kuwaza.Nchi zenye demokrasia wanatambua umuhimu wake.watu wengi wanatoa majibu mepesi mno kuliko ukweli wenyewe.Niulize,wewe umekwenda kutoa maoni then maoni yako si chochote,hivyo wanaamua kuyazika na kutengeneza ya kwao.TUWAZE NA KUFIKIRI ZAIDI.