Tumechoka kuandamana (sms sent)

Tumechoka kuandamana (sms sent)

I warned you dogs.....
This time you will face a reprisal (complete annihilation). When comes to our NATIONAL SECURITY, NATIONAL STABILITY, AND OUR FUTURE AS A NATION....... hatucheki na kima.
Anzisheni then you will see the response.
Sisi ni wengi....more than TWO THIRD na vyombo vya dola viko nyuma yetu

Gadaffi naye alitoa vitisho kama hivi akidhani ana watishia watoto nyau .Leo sijui yuko kwa mungu ama kwa shetani.
 
unajua nashangaa sana, UKAWA wanaamini maoni ya Tume ya Warioba yametoka kwa wananchi - ambao wanataka serikali 3, sasa wanahofia nini iwapo watashindwa na kura za wengi (CCM - a.k.a intarahamwe "according to Lipumba)si katiba hio itapigiwa kura na wananchi hao hao waliotaka serikali 3? So kwa nini UKAWA warudi kwetu ilihali wakati bado haujafika?

hawa jamaa wanatuonaga kama sisi tuna miili ya plastic. Sasa safari hii wataandamana na wake zao.
 
Mtu kama huyu unatemea angeleta mawazo gani kwenye kile kipengele cha ndoa ya jinsia........

Watu kama nyie mkiadhibiwa kwa mikono mtakuwa mumeonewa.? Iam warning you!! Dont ever try this again!!
 
unajua nashangaa sana, UKAWA wanaamini maoni ya Tume ya Warioba yametoka kwa wananchi - ambao wanataka serikali 3, sasa wanahofia nini iwapo watashindwa na kura za wengi (CCM - a.k.a intarahamwe "according to Lipumba)si katiba hio itapigiwa kura na wananchi hao hao waliotaka serikali 3? So kwa nini UKAWA warudi kwetu ilihali wakati bado haujafika?

ninawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri au unatumia ma------ kufikiri, sasa basi ingia darasa..rasmu iliyoko bungeni ni ya serikali tatu je hiyo ya serikali mbili nani kaipeleka tume hiyo mwkiti wake ni nani? je unataka wajadili hewa huku wakitumia mamilion ya walala hoi...
 
nadhani ungetulia uelewe hoja sio unakurupika? na wala sihitaji darasa lako, hivi zile kamati za bunge zilikuwa zinajadiri sura ya 1 na 6 kutoka rasmu gani, and all guys were there na wakaja na maoni ya wengi na wachache, na baadaye wakakaa kama bunge zima kila mtu akiunga au akikataa kwa hoja zake, sasa kitu gani kimewakimbiza na wewe unasema nini, hiyo rasmu ya ccm ipo wapi? wakati walikuwa wanajadiri ibara ya 1 na 6 ya rasmi, nadhani nyie ndo mnatupotosha sisi na mnataka sympathy badala ya hoja
ninawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri au unatumia ma------ kufikiri, sasa basi ingia darasa..rasmu iliyoko bungeni ni ya serikali tatu je hiyo ya serikali mbili nani kaipeleka tume hiyo mwkiti wake ni nani? je unataka wajadili hewa huku wakitumia mamilion ya walala hoi...
 
mliochoka ni wale majangili 40 ni wale wauzamadawa ya kulevya na wale wanaofanya kazi BOT lakini wakulima tupo tayari
 
Je hayo maoni yaliyoko kwenye yanayotaka serikali 3 wanayojadiri na wanayoitaka UKAWA, yanatoka wapi? kwa wananchi ama kwa CCM?
ninawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri au unatumia ma------ kufikiri, sasa basi ingia darasa..rasmu iliyoko bungeni ni ya serikali tatu je hiyo ya serikali mbili nani kaipeleka tume hiyo mwkiti wake ni nani? je unataka wajadili hewa huku wakitumia mamilion ya walala hoi...
 
Sasa hapo wasiwasi ya UKAWA inatoka wapi hadi wakimbie? hili jambo wanakaoliamua ni wananchi na wala si bunge maalumu la katiba - wananchi walitaka serikali 3 kwenye maoni, sasa kama CCM watapeleka katiba ya serikali 2 badala ya 3 waliyoitaka wao wataikataa, na hapo ndio UKAWA wangezunguka nchi nzima kuwaambiwa wananchi and I hope will get support, ila kwa sasa naona wanafanya fujo
Wanaoshangaza ni CCM wanasema yale siyo maoni ya wananchi ni ya Waryoba wakati wanajua kuwa rasimu itapelekwa kwa wananchi ili ikapigiwe kura ya kukubali au kukataa wao wameamua kuikwamisha hata kabla ya kuwafikia walengwa.
 
yaani kwa hatua hii ya mwanzo ya kususa bunge na kuja mtaani - mimi nipo upande wa Lukuvi
Kama kuna mawakala wao humu ndani wawaeleze wachukue hatua kwa ushauri Wako huu.

UKAWA wanafanya mambo kama vichaa, safari hii hawajapa kuungwa mkono na mtu yeyote, hata Vijana wa Chadema wenyewe wanakili kuwa viongozi wao wamechemka na move mfu.

UKAWA MMEBUGI MEEEEEEENNNN.
 
Watu kama nyie mkiadhibiwa kwa mikono mtakuwa mumeonewa.? Iam warning you!! Dont ever try this again!!

acha vitisholess toa hoja mpaka sasa sioni unacholalamikia mara bata mara mikono mbona sikuelewi au ndo pasaka at work.
 
We andamana kwani ukifa au ukivunjwa kiuno sisi inatuhusu nini
Sikuzaliwa ili niishi milele katika mwili huu. Kuna siku nitakufa na wala siogopi kufa! Ikitokea nakufa kwa kutetea haki ni heri kwangu kuliko kufa nikiwa nimejifungia ndani kwa woga!
 
Maandamano ni haki lakini pale yanaporuhusiwa kisheria.

Mkiandamana bila ruksa mtaishia kufariki na kuacha familia zenu vibaya uku wao wakienda kupoozwa kwa juice na chai magogoni.

acha uboya wewe maandamano muhimu watu watakufa lakini kizazi kijacho kitaneemeka unaona raha sirikali yako inavyofilisi nchi? think big!
 
Sasa hapo wasiwasi ya UKAWA inatoka wapi hadi wakimbie? hili jambo wanakaoliamua ni wananchi na wala si bunge maalumu la katiba - wananchi walitaka serikali 3 kwenye maoni, sasa kama CCM watapeleka katiba ya serikali 2 badala ya 3 waliyoitaka wao wataikataa, na hapo ndio UKAWA wangezunguka nchi nzima kuwaambiwa wananchi and I hope will get support, ila kwa sasa naona wanafanya fujo

Ni kwamba CCM wanataka kuikwamisha kabla haijafika kwa wananchi na hiki ndicho UKAWA wanachokipinga.
 
I warned you dogs.....
This time you will face a reprisal (complete annihilation). When comes to our NATIONAL SECURITY, NATIONAL STABILITY, AND OUR FUTURE AS A NATION....... hatucheki na kima.
Anzisheni then you will see the response.
Sisi ni wengi....more than TWO THIRD na vyombo vya dola viko nyuma yetu
First of all we are not afraid of you cowards, and we are not afraid to die for we know that everyone is appointed to die one day. We are ready to die for the better future of our nation which you have been plundering down. We need a good constitution originated form Wananchi against that one of you which originates form a band of thugs called CCM. Be it tomorrow or ten years to come we shall make it!
 
How? CCM wanataka kuikwamisha? ila naona kwa UKAWA kukimbia ndio wanakipa kichwa CCM na wapambe wao, and nina aamini CCM nao wakiamua kwenda mtaani basi wataichafua UKAWA kwa wananchi na kurudusha nyuma na kupunza nguvu za upinzani katika chaguzi - I tell you
Ni kwamba CCM wanataka kuikwamisha kabla haijafika kwa wananchi na hiki ndicho UKAWA wanachokipinga.
 
Acha utani na utoto, huogopi kufa kweli wewe?

I think usingekuwepo duniani iwapo usingekuwa huogopi kufa? At least Ponda anaweza shuhudia alishawahi pigwa risasi, wewe jeuri hio huna Kunguru wewe
First of all we are not afraid of you cowards, and we are not afraid to die for we know that everyone is appointed to die one day. We are ready to die for the better future of our nation which you have been plundering down. We need a good constitution originated form Wananchi against that one of you which originates form a band of thugs called CCM. Be it tomorrow or ten years to come we shall make it!
 
Maandamano ni haki lakini pale yanaporuhusiwa kisheria.

Mkiandamana bila ruksa mtaishia kufariki na kuacha familia zenu vibaya uku wao wakienda kupoozwa kwa juice na chai magogoni.
Subiri, asipouawa baba yako, atauawa mdogo wako. Shida za Watanzania ni Zile Zile!
 
labda sijakupata vizuri, CCM wataikwamishaje? Wasiwasi wangu ni kuwa Japo CCM kwa upande wa UKAWA ndani ya bunge na kwa wananchi wachache wenye upeo - wanaona kuwa CCM kinakwamisha, ila kwa UKAWA kususia bunge CCM watawageuzia UKAWA kwa wananchi kuwa wamekimbia Bunge na wapo nje kuleta fujo na kuharibu mchakato wa katiba, kitu ambacho wananchi wengi watajua ni kweli kuwa UKAWA is a problem - Mind you Lipumba kesha leta habari za Intarahamwe, CCM watasema hawa jamaa "UKAWA" walisema intarahamwe wakimaanisha sasa ni vita
Ni kwamba CCM wanataka kuikwamisha kabla haijafika kwa wananchi na hiki ndicho UKAWA wanachokipinga.
 
Anakubali kuwa ni haki ya msingi then anaikataa haku chini, hana tofauti na mwanamke anaeficha mbele anatoa nyuma kulinda bikra yake.
 
Back
Top Bottom