mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
Umerogwa ww ba bwana ako.. Cjui ke au me utajua mwenyewe
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Pole sana kwa kuchoka kuandamana. Wenzako kuhusu Katiba wala hatujaanza kuandamana bado, wewe umeshachoka. Tuna usongo. Tutaandamana hadi kieleweke kama itakuwa kwamba hiyo ndiyo njia pekee ya kupata Katiba ya Wananchi kama hali inavyoashiria sasa.
Dah! nikihisi maandamano yanakuwa kwa lengo hili basi huwa nabaki home natulia, ili iweje sasa na hiyo jumuiya ya kimataifa...mie nilidhani ili jumuiya Tabora au Nachingwea ifahamu ...kumbe ni kwa maslahi?Pengine unapoint ya maana lakini USHABIKI na utoto umeharibu maudhui ya bandiko lako... Maandamano hufanyika kwa ajili ya kufikisha ujumbe kwa walengwa ikiwemo Jamii ya kimataifa!! Kuandamana ni haki ya msingi kwa kila mwananchi wala haihitaji kibali kwani vyombo vya usalama kazi yao ni kusaidia maandamano yafanyike kwa amani... suala la Maridhiano (wewe unaita juicy) ni muhimu sana kwa ustawi wa Jamii yetu! Haiwezekani Rais wa watu million 5 akaacha kukaa meza moja na viongozi wenye kuwakilisha watu zaidi ya million 30! Nchi haitakuwa salama... Binafsi nawasifu hao waliokwenda kunywa juicy kwa maslahi ya wananchi wao!... Pasipo maridhiano umoja na utaifa wetu utatoweka kama nuru ya mchana wakati Giza linapoingia... I bet wewe huna mpenzi ama umeachika ndiyo maana huwezi kuona umuhimu wa ku - compromise ili mambo yaende mbele...
Dah! nikihisi maandamano yanakuwa kwa lengo hili basi huwa nabaki home natulia, ili iweje sasa na hiyo jumuiya ya kimataifa...mie nilidhani ili jumuiya Tabora au Nachingwea ifahamu ...kumbe ni kwa maslahi?
I warned you dogs.....
This time you will face a reprisal (complete annihilation). When comes to our NATIONAL SECURITY, NATIONAL STABILITY, AND OUR FUTURE AS A NATION....... hatucheki na kima.
Anzisheni then you will see the response.
Sisi ni wengi....more than TWO THIRD na vyombo vya dola viko nyuma yetu
Nahisi unajitoa ufahamu tu si zaidi ya hapo! external pressures such as NO Fly Zone, political sanctions huwa zinasaidia kwa njia moja ama nyingine Mkuu... Ndiyo maana kuna Umoja wa Mataifa ambayo hufuatilia kwa karibu mambo ya haki za binaadam ...
Pole sana kwa kuchoka kuandamana. Wenzako kuhusu Katiba wala hatujaanza kuandamana bado, wewe umeshachoka. Tuna usongo. Tutaandamana hadi kieleweke kama itakuwa kwamba hiyo ndiyo njia pekee ya kupata Katiba ya Wananchi kama hali inavyoashiria sasa.
and nadhani hawa jamaa wamefikia hatua ya kuvimba vichwa, nadhani yanahitajika maandamano ya kupinga maandamano yao, na watu tujitokeze tunaandamane tuwalazimishe warudi bungeni wakamalizane huko huko kwenye "jumba kubwa" - huku mtaani si eneo lao, huku ni kwetu watuache tufanye kazi zetu nao warudi kazini kwao Dodoma
I warned you dogs.....
This time you will face a reprisal (complete annihilation). When comes to our NATIONAL SECURITY, NATIONAL STABILITY, AND OUR FUTURE AS A NATION....... hatucheki na kima.
Anzisheni then you will see the response.
Sisi ni wengi....more than TWO THIRD na vyombo vya dola viko nyuma yetu
I warned you dogs.....
This time you will face a reprisal (complete annihilation). When comes to our NATIONAL SECURITY, NATIONAL STABILITY, AND OUR FUTURE AS A NATION....... hatucheki na kima.
Anzisheni then you will see the response.
Sisi ni wengi....more than TWO THIRD na vyombo vya dola viko nyuma yetu
Data zako za Tume ya Uchaguzi hazina mashiko! Wewe tuambie pale chalinze kuna wananchi wapiga kura zaidi ya 92 elfu... Hao 72 elfu ambao hawakupiga kura ilikuwaje? Kwanini? Jibu rahisi sana! Mfumo wenu daftari na shahada ndio tatizo! Shahada mmezinunua kwa fedha za sembe! Ruhusuni watu wapige kura kama katiba inavyosema alimradi wanaweza kuthibitisha uhalali wao muone kama kiama hakija wakumba...Hao viongozi wanaowakilisha watu milioni 30 ni wepi? Ni hawa hawa akina Mbatia, Lipumba na Mbowe ambao idadi ya wanachama na wafuasi wao hawazidi milioni tatu? Au una maana gani? Hakika siasa za kilaghai UKAWA zimewaponza. CCM tuko wengi ndani na nje ya bunge
Hao viongozi wanaowakilisha watu milioni 30 ni wepi? Ni hawa hawa akina Mbatia, Lipumba na Mbowe ambao idadi ya wanachama na wafuasi wao hawazidi milioni tatu? Au una maana gani? Hakika siasa za kilaghai UKAWA zimewaponza. CCM tuko wengi ndani na nje ya bunge
Kama kuna mawakala wao humu ndani wawaeleze wachukue hatua kwa ushauri Wako huu.
UKAWA wanafanya mambo kama vichaa, safari hii hawajapa kuungwa mkono na mtu yeyote, hata Vijana wa Chadema wenyewe wanakili kuwa viongozi wao wamechemka na move mfu.
UKAWA MMEBUGI MEEEEEEENNNN.
Tatizo la wapinzani nao ni walewale, wakiitwa na ma interahamwe huko magogoni wanatia timu! Toka mwanzo hawakustahili kushiriki kwenye bunge hili lenye ma interahamwe wengi kuliko maelezo! Tatizo mshiko wa 300000 kwa siku.
unajua nashangaa sana, UKAWA wanaamini maoni ya Tume ya Warioba yametoka kwa wananchi - ambao wanataka serikali 3, sasa wanahofia nini iwapo watashindwa na kura za wengi (CCM - a.k.a intarahamwe "according to Lipumba)si katiba hio itapigiwa kura na wananchi hao hao waliotaka serikali 3? So kwa nini UKAWA warudi kwetu ilihali wakati bado haujafika?
Vijana tufumbue macho tuwaone hawa viongozi wetu wanavyotutumia kama mitaji yao wao wamekula posho ya tsh18 milioni kila mmoja wanataka sisi tuandamane bila chochote huu ni ujinga wa hali ya juu.