tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,759
- 768
- Thread starter
- #81
Sikuzaliwa ili niishi milele katika mwili huu. Kuna siku nitakufa na wala siogopi kufa! Ikitokea nakufa kwa kutetea haki ni heri kwangu kuliko kufa nikiwa nimejifungia ndani kwa woga!
kwahio unataka kufa na nani? Kama vyanzo vya kifo viko vingi tafuta jengo lolote refu ujiachie you'll be akhera at once.