Fanfa
JF-Expert Member
- Sep 25, 2009
- 2,390
- 3,722
Yale mambo matano (5) niliyosema UMMA kwa sasa hawezi kufanya chochote, ukiyajua kwa undani ndo utanielewa. Mlezi wa hayo yote anaitwa "ubinafsi". Hii ni nyongo iliyomezwa na watanganyika kuanzia ngazi ya familia hadi taifani. Leo unajidai una miaka zaidi ya 60 ya uhuru. Ni kitu gani hasa kimebadirika tangu uupate huo uhuru???Watu wa jf huwa mnajikuta wanafalsafa kuliko aristotle kwamba umepiga filosofi ngumuuuu nisiyoweza kung'amua. Amka ndotoni, ni kuwa mabadiliko hayatawahi haraka tudhaniavyo ila pia kusema yatachelewa kwa atleast miaka 200 ijayo huo ni uongo mkubwa, labda useme ulitumia hyperbole to get your point across
Narudia tena. Inahitaji "critical thinking" kunielewa nachosema. Sina uhakika kama ipo siku utanielewa labda ukifikisha miaka 200.