Tumebonyeza kizenji bonyeee! Wamekuwa mdebwedo?

Kazi tumeshamaliza! Hakuna nyangenyange wala kumbikumbi aliyethubutu kuzuia mipango yetu. Tumebonyeza kizenji bonyeeeee! Wamegeuka mdebwedo. Na bado! Lisu wenu twamuachia msije Lia. Ametiatia huruma dadeki!
Kazi mmemaliza ? Hongera kwa kubofya kizenji na kumaliza kazi ,ila kumbuka aya mazalau yenu yatawatokea puani
 
Kazi tumeshamaliza! Hakuna nyangenyange wala kumbikumbi aliyethubutu kuzuia mipango yetu. Tumebonyeza kizenji bonyeeeee! Wamegeuka mdebwedo. Na bado! Lisu wenu twamuachia msije Lia. Ametiatia huruma dadeki!

Kwa watu wasioona mbali ni kweli kazi imeisha.

Who knows? Tuombeane sana
 
DAH kwa nilichokishuhudia kwa CHAUMA nmejiridhisha siasa ni mchezo mchafu saaana HAO WATU wametoka wapi?

Kwishaaaa
 
Nakuhakikishia Lissu akigombea hata na tume hii hii anashinda
 
Watu wanaenda kuchukua form ila wanaogopa mpaka vivuli vyao sasa vijana wetu mmesumbua wa nini, kijana wangu alinipigia ati tumetoka mara moja tuko kwa samia
 
Kazi tumeshamaliza! Hakuna nyangenyange wala kumbikumbi aliyethubutu kuzuia mipango yetu. Tumebonyeza kizenji bonyeeeee! Wamegeuka mdebwedo. Na bado! Lisu wenu twamuachia msije Lia. Ametiatia huruma dadeki!
Una uhakika kazi mmemaliza? Nauliza tena, una uhakika kazi imeisha? Pengine ndiyo hata haijaanza. Mark comment yangu... nina uhakika kuna siku utahitaji kuisoma tena.
 
Bro unaongea kimamlaka sana na unaongea kwa past tense as though mipango imeshakamilika, kipi unakijua ambacho kimefichika machoni pa tulio wengi?
Mtu kala makande kavimbiwa anatoa ushuzi ndo usema anaongea kwa mamlakà. Uchuro mwingine haifai.

Nchi inabebwa na watu watatu tu.
1. Jeshi
2. TISS
3. Polisi

No. 1 & 2 huwa hawaongei. No. 3 huwa anajimwambafai sana. Watu hao watatu wakimuunga mkono mtawala wengine mtapiga makelele mpaka mtachoka tu. Mtafanywa wanavyotaka.

Ni mtu mmoja tu akisema NO na akawa serious mtawala anakimbia nchi. Mtu huyu ni "UMMA'. Kwa hapa Tanganyika mtasubiria miaka 200 ndo mtu anayeitwa umma ndo atafanya kazi.

Kwa nini mr. Umma hawezi kitu kwa sasa.

1. Ubinafsi umewajaa
2. Ujinga uliotopea umewajaa
3. Umasikini wa kifikra umewatawala.
4. Umasikini wa kipato unachanganya pia kukuza tatizo namba 2.
5. Wapumbavu ni wengi kuliko welevu.

Trust me, count 200 years to come for changes to happen.
 
Kazi tumeshamaliza! Hakuna nyangenyange wala kumbikumbi aliyethubutu kuzuia mipango yetu. Tumebonyeza kizenji bonyeeeee! Wamegeuka mdebwedo. Na bado! Lisu wenu twamuachia msije Lia. Ametiatia huruma dadeki!

Sawa bashe
 
Bahati mbaya kabisa wakati huyu Mr umma bado hajielewi, hao jamaa zake wengine 3 wamekamatika kwelikweli kwenye mfumo, na wao hawafurukuti.
 
Kazi tumeshamaliza! Hakuna nyangenyange wala kumbikumbi aliyethubutu kuzuia mipango yetu. Tumebonyeza kizenji bonyeeeee! Wamegeuka mdebwedo. Na bado! Lisu wenu twamuachia msije Lia. Ametiatia huruma dadeki!
Kwanini mumuachie ? Nyongeni muhaini kwa mashahidi wa gizani
 
Trust me, count 200 years to come for changes to happen.

Mzee unaijua miaka 200? Unajua miaka 70 tu nyuma Marekani weusi walikuwa hawapigi kura? Unajua miaka 40 nyuma mtu hakuweza kuongelea vyama vingi Tz, unajua miaka 50 nyuma Tz kukosoa utawala waziwazi haikuweza hata kufikirika? Unajua miaka si zaidi ya 70 iliyopita Hatukujua hata wakoloni wataondoka? Ramli yako ya miaka 200 kaipige tena. Tupo katika zama tofauti, zama za serikali za Afrika kupoteza ukiritimba wa kusambaza habari kwa umma ambapo sasa mtu binafsi na simu yake tu anaweza wasambazia habari maelfu ya watu ndani ya sekunde moja tu. Miaka 200 ni mingi saaaaana
 
Nilichokiandika kimekuzidi uwezo. Ni ngumu kuelewa ila ipo siku utanielewa tu. Jipe muda.
 
Watu wa jf huwa mnajikuta wanafalsafa kuliko aristotle kwamba umepiga filosofi ngumuuuu nisiyoweza kung'amua. Amka ndotoni, ni kuwa mabadiliko hayatawahi haraka tudhaniavyo ila pia kusema yatachelewa kwa atleast miaka 200 ijayo huo ni uongo mkubwa, labda useme ulitumia hyperbole to get your point across
 
Back
Top Bottom