Tumebonyeza kizenji bonyeee! Wamekuwa mdebwedo?

Don't ever try !!.

Kuhusu LISSU alishasema hataki Huruma, Tena akisisitiza mpeleke kesi Mahakama Kuu , akikutwa na Hatia anyongwe !!.

Kuhusu Samia , Ilikua ni jambo gumu na lisowezekana Kwa Nchi kuendelea kua Na Rais ambaye chini yake Utekaji utaendelea, Mauaji ya Watu wakiwemo Viongozi wa Dini yataendelea, Kesi za KISIASA ziendelee, Uuzaji wa Maliasili na Rasilimali za Nchi uendelee , Umasikini ukiongezeka Deni la Taifa likiongezeka , NI NGUMU MNO NA ISINGEWEZEKANA.

Niwaambie Watanzania, wawe na Amani, watulie na wawe na Furaha , SAMIA HANA NAMNA YOYOTE KUENDELEA KUA RAIS Licha ya hizi sarakasi zake , Kwanza Tumuonee Huruma !!.
 
Kujifariji ni sehemu ya maisha
 
Bro unaongea kimamlaka sana na unaongea kwa past tense as though mipango imeshakamilika, kipi unakijua ambacho kimefichika machoni pa tulio wengi?
 
Kazi tumeshamaliza! Hakuna nyangenyange wala kumbikumbi aliyethubutu kuzuia mipango yetu. Tumebonyeza kizenji bonyeeeee! Wamegeuka mdebwedo. Na bado! Lisu wenu twamuachia msije Lia. Ametiatia huruma dadeki!
Kuwa umebonyezwa kizenji?
 
Mipango sio hiyo, mipango ni CCM tushinde uchaguzi
 
Don't ever try !!.

Kuhusu LISSU alishasema hataki Huruma, Tena akisisitiza mpeleke kesi Mahakama Kuu , akikutwa na Hatia anyongwe !!.

Kuhusu Samia , Ilikua ni jambo gumu na lisowezekana Kwa Nchi kuendelea kua Na Rais ambaye chini yake Utekaji utaendelea, Mauaji ya Watu wakiwemo Viongozi wa Dini yataendelea, Kesi za KISIASA ziendelee, Uuzaji wa Maliasili na Rasilimali za Nchi uendelee , Umasikini ukiongezeka Deni la Taifa likiongezeka , NI NGUMU MNO NA ISINGEWEZEKANA.

Niwaambie Watanzania, wawe na Amani, watulie na wawe na Furaha , SAMIA HANA NAMNA YOYOTE KUENDELEA KUA RAIS Licha ya hizi sarakasi zake , Kwanza Tumuonee Huruma !!.

🤣🤣
Kipindupindu kitakuua Mwaka huu. Naona waharisha. Na bado
 
Bahati mbaya mmefanywa Vipofu hata Signals hamzioni ni kama Farao vile! .

Narudia , Hamtaonekana tena , Phase yenu Imeisha, Mwanzo Mpya umeanza.

Zingatia hili, Hamtaonekana tena na hamtakua na Uhuru, jiandaeni Kwa Giza na kuliona Jua Kwa Masaa machache Kwa watakaokua Hai, itakua Heri Kwa Wanaoanza Kufa Sasa !!.
 
"E

Fanya hima, kiza kinaingia.
mbwa keija kufa elaiya"
 
Back
Top Bottom