Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,909
- 31,733
๐๐๐๐๐Spidi utakayoenda nayo ndo utarudi nayo.
๐๐๐๐๐Spidi utakayoenda nayo ndo utarudi nayo.
Acha usenge dogoNaona kama badae atabadirika tena sasa nataka nizitumie kama kulipa kisasi
wewe ni mwanaume fakeNaona kama badae atabadirika tena sasa nataka nizitumie kama kulipa kisasi
Ni utoto tu wakikua wataacha ......๐๐๐pengine anataka kutumia then arudishe
Ila kuna wanawake wana mioyo kuchanga pesa na boifurendi aah
๐๐๐sijui hayo mahaba wanayatoa wapi kwa kweliNi utoto tu wakikua wataacha ......
mm mwenyewe siwezi weka pesa pamoja na manzi.....
Daaah hatari Sana[emoji2][emoji2][emoji2]Usimuamini mwanamke hata kidogo.
Mimi kila jumapili nakula mbususu ya demu mmoja hivi ambaye amemuweka mchumba wake DP WhatsApp takribani miezi miwili sasa akaisindikiza picha hiyo na maneno haya "Nakupenda Kinoma my one and only".
Jamaa huko aliko atakua anavimba kichwa balaa[emoji1787][emoji1787]
Wakati huku masela tunajipigia tu mbususu ya "mai waifu tubii wake"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha bhasi ko wanachez yanga na simba au SimbaChukua elfu 50
Twende kuwachek Msimbazi
[emoji23][emoji23]
Natania tu
Yaani unataka kuzitumia hizo pesa kama kulipa kisasi ama wataka kuzitumia kisha uzirudishe
๐๐ Iv una akili sawa sawa kweli wew kijana?Nisubiri nini tena..?
Tumia hizo Pesa mwanangu, ila Kadiria kiasi usizimalize zote.mpaka sasa ameshaweka kiasi fulan mm cjaweka nafsi inanituma kuzitumia pesa ambazo ameweka yeye. Je ni sahihi kufanya hivyo? Naombeni ushauri wenu
Acha roho mbaya mtoto wa kiume, kama huna malengo nae mrudishie hela yake na kumwambia ukweliHabari za muda huu wapendwa nina mchumba wangu tumeanza mahusiano tangu mwaka 2014, yeye akiwa darasa la saba mimi nikiwa form one mpaka leo hii yeye yupo chuo na mimi nipo chuo kikuu bado tuna mahusiano, lakin siku moja nlijaribu kushika simu yake nikakuta kuna voice note ambazo ametumiwa na mwanaume mwingine, alipogundua nimeona alilia sana akaomba nimsamehe, basi nikapotezea lakini juzi kati aliniambia nisajiri kadi ya bank kwa ajili ya kutunza hela ambazo zitatusaidia kuanzisha maisha, mpaka sasa ameshaweka kiasi fulan mm cjaweka nafsi inanituma kuzitumia pesa ambazo ameweka yeye. Je ni sahihi kufanya hivyo? Naombeni ushauri wenu
Nimekosea wapi..?๐๐๐ Iv una akili sawa sawa kweli wew kijana?