sunv
Member
- May 19, 2020
- 44
- 33
Habari za muda huu,
Wapendwa nina mchumba wangu tumeanza mahusiano tangu mwaka 2014, yeye akiwa darasa la saba mimi nikiwa form one mpaka leo hii yeye yupo chuo na mimi nipo chuo kikuu bado tuna mahusiano, lakini siku moja nilijaribu kushika simu yake nikakuta kuna voice note ambazo ametumiwa na mwanaume mwingine.
Alipogundua nimeona alilia sana akaomba nimsamehe, basi nikapotezea lakini juzi kati aliniambia nisajiri kadi ya bank kwaajili ya kutunza hela ambazo zitatusaidia kuanzisha maisha, mpaka sasa ameshaweka kiasi fulan mimi sijaweka nafsi inanituma kuzitumia pesa ambazo ameweka yeye.
Je ni sahihi kufanya hivyo?
Naombeni ushauri wenu