Tumeambiwa tule nyama, kwa pesa gani?

Nena

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
2,297
892
Waziri wa Kilimo amewataka watanzania waongeze ulaji wa nyama red na white. Amedai kwamba Consumption ya nyama ni below recommended daily requirement.

Source: The Guardian

Jamani viongozi muwe sensitive kidogo, hiyo pesa ya kula nyama tunaitoa wapi. Tunajitahidi kidogo wakati wa sikukuu angalau watoto wapate pilau la nyama au kuku.

Watanzania kuleni nyama = let them eat cake
 
Uliisikia kuropoka ndio huku , hivi kuna mtu asiyependa kula nyama? Kila mtu angependa kula nyama kila siku ila uchumi unabana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom