Tumeachana lakini mwenzangu ananitafuta ugomvi kilazima

We jifanye mpole kutana nsye zungunza naye omba mzigo tena. Akikubali fumua marindaaaaa vibaya sanaaaaaaa mpaka uchane oilseal halafu uone kama atakufuata tena
 
We jifanye mpole kutana nsye zungunza naye omba mzigo tena. Akikubali fumua marindaaaaa vibaya sanaaaaaaa mpaka uchane oilseal halafu uone kama atakufuata tena
Duuuh...siwez fanya hvy mkuu
 
Usimjibu tena maana ukimjibu mjinga utafanana nae. Pia hakuna kuachana ktk uhusiano ila kuna mmoja kuachwa
 
Brother pia jitafakari wewe kwanini anafanya hayo....ila kama unadaiwa na huyo make sure unamlipa au kama kuna vitu mlifanya nae for ur future but nao mmeachana na hivyo vitu bado unavyo wewe na anaona kuna dalili za kudhulumiwa kwa hivyo brother kuwa mstaalabu rejesha hivyo vitu!
 
Hapana hatudaiyan chochote
 
Nimesha m block waungwana ila cha kushangaza anaandika hadi sms za kawaida kibaya zaid anatumia namba tofauti..nashindwa kubadili namba sababu namba yangu natumia kwenye mambo yangu ya kibiashara
Usimjibu kabisa, baada ya muda mfupi tu ataacha. Imeshawahi kunitokea nilichofanya sikumjibu chochote aliacha mwenyewe.
 
Screenshot_2017-06-15-07-21-51.png
Njia ni mbili tu..
Download app ya call na msg block/ blacklist .:cool::cool::cool: Then mblack list kwa kila number utakayo hisi ni yake.. Msg nazo zitakuwa blocked tho zitaingia kwa simu..
Jifunze kutokusoma msg zake::(:(:( Mwanzon zitakuumiza but jifunze kutoziamgalia na ata ukiziangalia usizijibu.. usijibu ata salamu..coz wengine wanaanza na salamu ukijibu wananza kuporomosha matusi..(Rule of thumb "usijibu msg au kupokea simu ambayo unahisi imetoka kwake ata kama ni number mpya").Usipomjibu kwa miez kadhaa atajiona mjinga and trust me hatokutafuta...Kwenye call blocker/ blacklist akipiga atambiwa simu ipo busy au network busy.. Akiandika msg zitamuonyesha zipo delivered so atakuwa anasubr umjibu..akisubiri kwa siku tatu hujajibu roho itanza kumuuma..na atataka kuandika ingine ambayo itakukera zaidi ili umjibu..akiandika ingine usimjibu mkaushie tena..mchezo uwe hivyo...o_Oo_Oo_O
Kosa kubwa: Kinachotupomza majority of wanaume.. Ni kutaka kujibishana au kutukanana na mwanamke.. Piga uwa galagaza hutaweza mshinda.. Mungu amewanyima nguvu lakn amewapa sauti na maneno.. .. Mm ilishamitokea na nilifanikiwa kwa hilo...ukifanya haya yote baada ya miezi minne uje kunishukuru kwenye huu uzi...
 
Habar wandugu wa jamii forum.
Yupo binti mmoja tuliyekuwa na mahusiano ya kimapenz hapo..awali kutokana na sababu mbali mbali tukajikuta kila mtu anashika njia yake. Upande wangu, sikuwahi kumtukana wala kafanya chochote cha kumuuzi.
Cha ajabu mwenzangu ameanza kunitukana mitandaoni nikipost picha kwenye page yangu..anaandika comment za ajabu za kunishusha heshima yangu, nimejaribu kwenda nae kistaarabu naona mwenzangu namvimbisha kichwa. Sasa wadau hebu nishaurin maana wanasema hasira hasara, huyu mtu nimfanye nn kinacho mstahili. Ili ajue mahusiano sio ndoa..maana anakoelekea anazid kunichafulia heshima yangu niliyoijenga kwa miaka mingi kwenye jamii, halafu yeye anakuja kuvuruga kirahisi rahisi.
Yupo kuna mmoja Jana tu niliweka thread akaanza kuongea maneno ya kuku wa kienyeji kabisa yani what we had was almost 7months ago,worse part it was mahusiano ya kwenye simu nafsi yangu ilipinga kabisa kuonana nae aisee hatukuwahi kuonana, tuliishia kutumiana picha tena fake ones labda yeye kama alituma za kweli, sababu niliona hakuna usalama hapa kabisa.

Hee Jana nimeanzisha thread alipotokea sipajui anaropoka yani kienyeji nikabaki nasoma nacheka sijibu kitu sabu alichokitaka hakikufanikiwa

So nikushauri kaa kimya atachoka mwenyewe ikibidi mueleze mwenzi wako atakuelewa ata kama itatokea shida mbeleni
 
Sawa mkuu..urbanGentleman nimekupata nitafanya hvy
 
Nimesha m block waungwana ila cha kushangaza anaandika hadi sms za kawaida kibaya zaid anatumia namba tofauti..nashindwa kubadili namba sababu namba yangu natumia kwenye mambo yangu ya kibiashara
Mshitaki si makosa ya mtandao hayo. Siku nyingine uwe unafanya indepth analysis ya hawa mademu wengine wanakuwa na matatizo ya akili mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom