Tumeachana lakini mwenzangu ananitafuta ugomvi kilazima

Kwa sababu ulikurupuka mwanzo ukaopoa dem jangili sasa nakushauri utafute mwanamke kaa chini tulia achana na mademu tafuta mwanamke hutojutia tena, ulikosea tangu ulivyomtongoza tena inawezekana mlikutana sehemu za starehe.
 
Mkuu, najua mtihani ulionao, mm iliwahi kunitokea kwa mchaga mmoja, uuuwi, yaani, nilikuwa nikiposti kitu anaandika we bwege tu, aliwahi kuja mpaka ofisini akaongea stit sana, akatishia kuniloga, akachunguza nilienae akaanza kumtumtukana. Aise, niliteseka sana mpaka nilipobadili namba
Yan hajatofautiana na huyu mpuuz..kananikera sana
 
Duh!!! Pole,
Alikupenda sana.
But we mkaushie tu, ukimjibu utamtia moriiiii yaani ndio ataanza kukucharukia like she get what she want ile mbishane, mgombane. Haujui tu jinsi gani inamuuma unavyompotezea. We girls like mtu akujibu mbwatizane, but akikunyamazia aiseee inauma. So muelewe tuuu na mpotezee
 
Duh!!! Pole,
Alikupenda sana.
But we mkaushie tu, ukimjibu utamtia moriiiii yaani ndio ataanza kukucharukia like she get what she want ile mbishane, mgombane. Haujui tu jinsi gani inamuuma unavyompotezea. We girls like mtu akujibu mbwatizane, but akikunyamazia aiseee inauma. So muelewe tuuu na mpotezee
Hp nimekuelewa Maserati
 
We ulijichanganya sasa unamhukumu motto wa watu. Angalia vizuri, Mungu atakupa mabinti halafu vijana wenzAli watamchangamkia kama ulivyofanya
 
Nimesha m block waungwana ila cha kushangaza anaandika hadi sms za kawaida kibaya zaid anatumia namba tofauti..nashindwa kubadili namba sababu namba yangu natumia kwenye mambo yangu ya kibiashara
Bado anakupenda na hataki kuamini kuwa kweli mmeachana.(Mapenzi yanauma sana)
Mpuuze tu mwishowe ataacha mwenyewe.
 
Ni wale watu wenye

Maisha ya kukomoana

Ndio maana ajamblock

Ili awe anamuona
Duh! sijui kibao hiki aliimba nani?
Ombea adui yako aishi siku nyingi
Ili ukifanikiwa ajionee kwa macho
Nb :wote waliosema umpuuze naungana nao coz ukionyesha umekereka ujue yeye ndio mbinu yake ya kupoza machungu. Hapa juu nimempa ushauri mleta mada.
 
wewe huyo bado anahasira za kukupenda sasa jifanye umemsamehe halafu akijisogeza mnyooshe hadi akubali show
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom