Tumeachana lakini mwenzangu ananitafuta ugomvi kilazima

Yupo kuna mmoja Jana tu niliweka thread akaanza kuongea maneno ya kuku wa kienyeji kabisa yani what we had was almost 7months ago,worse part it was mahusiano ya kwenye simu nafsi yangu ilipinga kabisa kuonana nae aisee hatukuwahi kuonana, tuliishia kutumiana picha tena fake ones labda yeye kama alituma za kweli, sababu niliona hakuna usalama hapa kabisa.

Hee Jana nimeanzisha thread alipotokea sipajui anaropoka yani kienyeji nikabaki nasoma nacheka sijibu kitu sabu alichokitaka hakikufanikiwa

So nikushauri kaa kimya atachoka mwenyewe ikibidi mueleze mwenzi wako atakuelewa ata kama itatokea shida mbeleni
niliuona huo mchezo..pole sana
 
Habari wandugu wa jamii forum.

Yupo binti mmoja tuliyekuwa na mahusiano ya kimapenzi hapo..awali kutokana na sababu mbali mbali tukajikuta kila mtu anashika njia yake. Upande wangu, sikuwahi kumtukana wala kafanya chochote cha kumuuzi.

Cha ajabu mwenzangu ameanza kunitukana mitandaoni nikipost picha kwenye page yangu..anaandika comment za ajabu za kunishusha heshima yangu, nimejaribu kwenda nae kistaarabu naona mwenzangu namvimbisha kichwa. Sasa wadau hebu nishaurin maana wanasema hasira hasara, huyu mtu nimfanye nn kinacho mstahili.

Ili ajue mahusiano sio ndoa..maana anakoelekea anazid kunichafulia heshima yangu niliyoijenga kwa miaka mingi kwenye jamii, halafu yeye anakuja kuvuruga kirahisi rahisi.
block her
 
Jitadhimini na mahusiano yenu kabla hujamlaumu mtoto wa watu. Utajilaanisha na kizazi chako,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom