Tumeacha mambo ya Msingi tunajadili upuuzi!

Tumeacha mambo ya Msingi tunajadili upuuzi!

Usitudanganye wewe, hali ya uchumi na maisha viko stable kabisa na mtaani watu wanafurahia maisha.
Wanaolalamika wengi ni wapiga dili, na hivyo viwanda vinavyofungwa ni wapiga dili waliozoea kuwaibia wanyonge...
Hivi ww unaishi wapi
1.Huoni mfumuko wa bei
2.Biashara zinafungwa
3. Hela imepungua.
Sasa hao wapiga dili wanatokea wapi ?
Au ww ndo mpiga dili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanajadili na kutiririka kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara,

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo uzi umekua maarufu kwa sababu watanzania wengi tuna idol mind ambazo ni kichaka cha kuwaza ngono, ajira hamna watu wenye akili zao na heshima unasikia wanasimlia jinsi walivo kula mke wa mjomba wake Dada ake mama mdogo nikama tumekata tamaa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya Mwaka Mpya kwenu wadau!
Natumai wote tu salama na tunaendelea vyema na majukumu yetu.

Mwaka 2020 umeshaingia. Na kila mtu anajua kuwa mwaka huu ni wa uchaguzi mkuu ambapo watanzania wanaenda kuchagua viongozi wao wakuu kwa ajili ya kuwaongoza.

Lakini pamoja na kuwa ni mwaka wa uchaguzi , tumekaribishwa na ripoti nzito ya imf inayoelezea hali ya ukuaji wa kiuchumi hapa Tanzania.

Kwa watu wenye akili na wanaotafakari vizuri hiki ndo kili kuwa kipindi murua kwa watanzania kujadili kwa kina bila kificho juu ya kwa nini tumefika hapa na nini kifanyike ili tutoke hapa.

Imenisikitisha sana kuona jukwaa hili limeanza kuwa mfu kiasi hiki kiasi kwamba pamoja na ripoti hii kuonesha hali si shwari hapa kwetu kwenye ukuaji wa uchumi still watu hawajadili jambo hili la msingi na wamekalia vijembe vya CCM na Chadema pamoja na nyimbo za kusifu na kuabudu

Nchi haishtuki, viongozi hawashtuki, wananchi ndo wamelala usingizi wa pono pamoja na hali ya uchumi kuwa mbaya sana na dalili zote kuwa wazi.

Wiki hii kuna habari za kiwanda cha tiles chalinze kufungwa kutokana na Kukosa biashara, Vilevile kwa kipindi kirefu kuna Habari nyingi za biashara mbalimbali kufungwa, watu kupunguzwa kazini na mambo mengi yanayoonesha uchumi wetu hauko sawa ila watu wamelala kila siku kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu pamoja na vijembe vya vyama.

Kwa hali inayoendelea sasa kiuchumi Tanzania ilipaswa kila siku watu kutafakari na kujadili hali ya kiuchumi kiasi kwamba hata watawala watashtuka ila wapi watu wamekalia vijembe na kusifu na kuabudu.

Simshangai aliyesema Africa is a dark continent.

Tanzania tulisharogwa kitambo sana.
jomba kwanini usianzishe mada unakaa unalalama bila sababu...maendeleo yanaanza na wewe jomba sio mwingine...lete hoja mezani...jomba.suala la kiwanda kufungwa au kukosa biashara unataka serikali ifanyeje..iende ikalazimishe watu wanunue...au..? mambo ya biashara unayajua jomba au huyajui...market forces zinategemea na wewe umejipangaje..tuna biashara huria, lazima uwekeze ili uweze ku fit kwenye ushindani..biashara sio lelemama
 
Babu kila MTU amekata tamaa
 
watanzania tutakuja kushtuka deni la taifa limefika kwenye mawingu huku miradi haijamalizika na kasi ya kukamatwa mandege ikiwa iko juu huko India nk.
 
| Global
  • Search
    Search

Menu

My account

How to prioritise public infrastructure investments

More of the same in 2016
The global economy is facing a growth challenge. In our main scenario for this year, we project global GDP to grow at a similar rate as last year, around 2.5-3%. Figure 4 shows that this will be the fifth consecutive year of below trend growth when measured in MER terms (this is less pronounced when measured in PPP terms as more prominence is given to emerging markets). There are many possible ways to try to boost growth but one option that is often recommended is to accelerate public investment in infrastructure. Recently, for example, Christine Lagarde, head of the IMF, said that “investing in badly-needed, but well-designed, infrastructure is an obvious area of great potential”.
Global GDP growth is expected to be below its long-term trend again in 2016

Correlation coefficient between labour productivity and overall infrastructure quality is 0.81

Infrastructure investment boosts short-term demand and long-term supply
In the short-term, building or upgrading transport or energy networks, for example, can boost aggregate demand through increased construction activity and employment. In the long-term, infrastructure investment can boost economic growth by increasing the potential supply capacity of an economy. For example, improving transport facilities could make workers more mobile, so making labour markets more efficient and increasing productivity. While there are a number of other factors which influence labour productivity, including skills and technology, Figure 5 shows that there is a strong positive correlation between the quality of physical infrastructure and labour productivity in the G7 and the E7.
The long-term benefits of infrastructure investment are supported by the literature. For example, there are estimates that one extra dollar spent on infrastructure in Canada could increase GDP by between $2.46 and $3.83 in the long-term, discounted to present value terms.1 But this money does need to be spent effectively to realise these gains.

Principles for prioritising infrastructure investments
Policymakers are constantly wrestling with decisions on how to prioritise and allocate infrastructure funds. Based on our experience of working on infrastructure projects, we have set out four principles to help their decision making process. These are applicable across all stages of the economic cycle, whether policymakers are planning to invest more, or when spending must be reined in as government finances come under pressure. Our principles are as follows:

1. Ensure it meets a need
This can be done by identifying current and future needs. The former could be by analysing usage data, or through surveys. However, future needs are generally a more important consideration and hard to estimate. A standard approach is to project forward demand, but there is some evidence that these projections could be subject to optimism bias e.g. Flyvbjerg (2008).2 Ideally, a range of scenarios including optimistic and pessimistic cases should supplement the base case analysis.
View more
2. Ensure consistency with other objectives
Infrastructure projects should fit with the government’s broader policy agenda, including social and environmental as well as economic goals. For example, in the UK, the Government’s commitment to invest £13 billion in transport in the North of England is consistent with its objective to develop a ‘Northern Powerhouse’. Or in the case of Canada, building stronger communities and cities by renewing attention on public transit and green infrastructure.
View more
3. Ensure the numbers add up
Successful infrastructure projects need to be financially viable. This includes making sure funds are available to finance the project, but at present this does not seem like a major constraint as Figure 6 shows that long-term government bond yields are trading well below their historical average rates across the G7. For governments with a relatively low net debt position and healthy public finances (e.g. Germany and Canada), embarking on an infrastructure-led programme seems like a sensible way to boost aggregate demand and long-term supply capacity. But even where budget deficits remain relatively high, as in the UK, there could be a case for prioritising infrastructure investment over current spending.
View more
4. Ensure it will benefit the wider economy
all of the potential impacts of an infrastructure project should be considered. The assessment should factor in both the long-term effects as well as the direct and indirect impacts relative to a scenario where the project does not go ahead.
View more
Long-term government bond yields are below their historical average in every G7 economy

Good investment decisions could boost the global economy
In response to the Great Depression in the 1930s, the US enacted the Public Works Administration, investing $6 billion in infrastructure over a number of years (equivalent to around 11% of US GDP in 1933, the year the PWA was established) to kick start growth and productivity. This type of investment is once again being touted as the key to unlock our low growth environment – but the effectiveness of this policy will ultimately depend on how many shovel-ready projects in different economies meet the four principles outlined above.

1“The Economic Benefits of Public Infrastructure Spending in Canada”, The Centre for Spatial Economics (2015)
2“Curbing Optimism Bias and Strategic Misrepresentation in Planning: Reference Class Forecasting in Practice”, Flyvbjerg (2008)
 
jomba kwanini usianzishe mada unakaa unalalama bila sababu...maendeleo yanaanza na wewe jomba sio mwingine...lete hoja mezani...jomba.suala la kiwanda kufungwa au kukosa biashara unataka serikali ifanyeje..iende ikalazimishe watu wanunue...au..? mambo ya biashara unayajua jomba au huyajui...market forces zinategemea na wewe umejipangaje..tuna biashara huria, lazima uwekeze ili uweze ku fit kwenye ushindani..biashara sio lelemama
Usitudanganye wewe, hali ya uchumi na maisha viko stable kabisa na mtaani watu wanafurahia maisha.
Wanaolalamika wengi ni wapiga dili, na hivyo viwanda vinavyofungwa ni wapiga dili waliozoea kuwaibia wanyonge...
Sijui mnafikiria kwa kutumia matako?!,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...unajadili kula tunda kimasiharaaaa.....

wote kimyaaa....wapo wapi magwiji wa kujadili sera za uchumi na uwekezaji tulowasikia miaka ileeee, washaona hata waongeee hawasikilizwiii
 
Akina kikwete na mwenzake mkapa walisha fanya makosa,nasi tunajua makosa yapo wapi na yanayoka kwa nani.

Sasa tunatokaje katika hali hii hapa ndio kitendawili,maana kupitia sanduku la kura ni kitu kisichowezekana.njia tulizonazo ni 3 tu kusubiri uchaguzi wa 2025,ama power itoke ndani ya CCM yenyewe au wananchi waungane kuitoa serikali madarakani.

Option moja hapo ndio yenye uwakika kusubiri mpaka 2025,hizo zingine ni njia zisizowezekana kwa wananchi walio lala usingizi wa pono.

Basi sote tuna fursa za kujadili changamoto zetu mpaka 2025,pasiopo kutoa ufumbuzi.
 
jomba kwanini usianzishe mada unakaa unalalama bila sababu...maendeleo yanaanza na wewe jomba sio mwingine...lete hoja mezani...jomba.suala la kiwanda kufungwa au kukosa biashara unataka serikali ifanyeje..iende ikalazimishe watu wanunue...au..? mambo ya biashara unayajua jomba au huyajui...market forces zinategemea na wewe umejipangaje..tuna biashara huria, lazima uwekeze ili uweze ku fit kwenye ushindani..biashara sio lelemama
Naweza kusema ninapata mashaka na upeo wako wa kufikiri. Ila Asante kwa kuchangia.

Nafikiri hujui maana ya sera Nzuri za serikali zinavochochea ukuaji wa uchumi.
 
Akina kikwete na mwenzake mkapa walisha fanya makosa,nasi tunajua makosa yapo wapi na yanayoka kwa nani.

Sasa tunatokaje katika hali hii hapa ndio kitendawili,maana kupitia sanduku la kura ni kitu kisichowezekana.njia tulizonazo ni 3 tu kusubiri uchaguzi wa 2025,ama power itoke ndani ya CCM yenyewe au wananchi waungane kuitoa serikali madarakani.

Option moja hapo ndio yenye uwakika kusubiri mpaka 2025,hizo zingine ni njia zisizowezekana kwa wananchi walio lala usingizi wa pono.

Basi sote tuna fursa za kujadili changamoto zetu mpaka 2025,pasiopo kutoa ufumbuzi.
Ni hatari sana. Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa.

Kama CCM wangekuwa wanajua namna ya kutumia nguvu zao vizuri. Nchi hii ingekuwa mbali sana
 
...unajadili kula tunda kimasiharaaaa.....

wote kimyaaa....wapo wapi magwiji wa kujadili sera za uchumi na uwekezaji tulowasikia miaka ileeee, washaona hata waongeee hawasikilizwiii
Kweli kabisa. Ni kwa kiasi kidogo sana mawazo ya wenye akili yanasikilizwa sasaivi
 
Heri ya Mwaka Mpya kwenu wadau!
Natumai wote tu salama na tunaendelea vyema na majukumu yetu.

Mwaka 2020 umeshaingia. Na kila mtu anajua kuwa mwaka huu ni wa uchaguzi mkuu ambapo watanzania wanaenda kuchagua viongozi wao wakuu kwa ajili ya kuwaongoza.

Lakini pamoja na kuwa ni mwaka wa uchaguzi , tumekaribishwa na ripoti nzito ya imf inayoelezea hali ya ukuaji wa kiuchumi hapa Tanzania.

Kwa watu wenye akili na wanaotafakari vizuri hiki ndo kili kuwa kipindi murua kwa watanzania kujadili kwa kina bila kificho juu ya kwa nini tumefika hapa na nini kifanyike ili tutoke hapa.

Imenisikitisha sana kuona jukwaa hili limeanza kuwa mfu kiasi hiki kiasi kwamba pamoja na ripoti hii kuonesha hali si shwari hapa kwetu kwenye ukuaji wa uchumi still watu hawajadili jambo hili la msingi na wamekalia vijembe vya CCM na Chadema pamoja na nyimbo za kusifu na kuabudu

Nchi haishtuki, viongozi hawashtuki, wananchi ndo wamelala usingizi wa pono pamoja na hali ya uchumi kuwa mbaya sana na dalili zote kuwa wazi.

Wiki hii kuna habari za kiwanda cha tiles chalinze kufungwa kutokana na Kukosa biashara, Vilevile kwa kipindi kirefu kuna Habari nyingi za biashara mbalimbali kufungwa, watu kupunguzwa kazini na mambo mengi yanayoonesha uchumi wetu hauko sawa ila watu wamelala kila siku kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu pamoja na vijembe vya vyama.

Kwa hali inayoendelea sasa kiuchumi Tanzania ilipaswa kila siku watu kutafakari na kujadili hali ya kiuchumi kiasi kwamba hata watawala watashtuka ila wapi watu wamekalia vijembe na kusifu na kuabudu.

Simshangai aliyesema Africa is a dark continent.

Tanzania tulisharogwa kitambo sana.
Nafikiri ni busara ukawa mfano kwa kuchokoza mada hiyo hapa badala ya kutegemea kwamba hilo litafanywa na mtu mwingine. Kuwa badiliko unalolitamani
 
Hii kitu gani na ilikuwa wapi?
 
Attachments

  • 2261267_tapatalk_1571851230700.jpeg
    2261267_tapatalk_1571851230700.jpeg
    9.2 KB · Views: 10
  • 1628209_tapatalk_1510594569148.jpeg
    1628209_tapatalk_1510594569148.jpeg
    36.2 KB · Views: 5
ECONOMICS MACROECONOMICS
Can Infrastructure Spending Really Stimulate the Economy?

  • FACEBOOK
  • TWITTER
  • LINKEDIN
By SEAN ROSS
Updated Jun 25, 2019
Public infrastructure investment, such as spending on roads, bridges, and other such projects, is one of the most advertised tools of anti-recessionary fiscal policy. Donald Trump, all through his candidacy to now the presidency, is looking to push for a gigantic $1.7 trillion infrastructure plan. Why? When the economy struggles, politicians and public economists call for greater infrastructure spending as a form of stimulus, especially when the spending takes place in their district or state. Despite the ubiquitous presence of infrastructure-as-stimulus policy proposals, there is little practical evidence that public infrastructure projects are a net positive to the economy, or that they even boost net employment figures. There appears to be a disconnect between political rhetoric, political theory, and economic reality.

Theory of Infrastructure Stimulus
Government stimulus spending, whether on infrastructure or other goods and services, is predicated on the Keynesian assumption that an underproductive economy can be spurred back to full output by using new public expenditures to boost aggregate demand. Specifically, as it relates to infrastructure, the belief is that involuntarily unemployed persons can be given public infrastructure jobs and receive an income which, to the extent that it is spent quickly, promotes even more growth.

Going further, Keynesian stimulus spending assumes little or zero opportunity costs if the deficit spending occurs during a period of higher-than-normal unemployment. In fact, John Maynard Keynes prophesied that public infrastructure deficit spending could produce a multiplier effect on economic growth. This especially should be true when real interest rates are low.

Problems With Theoretical Infrastructure Spending
One chief problem with the theory of infrastructure spending is that it ignores so-called "Cantillon effects" for the relative change in different prices as the result of new money entering the economy. Since new spending increases prices and demand in some areas faster and more deeply than in other areas, it has the side effect of misdirecting production away from areas where private citizens might voluntarily choose to dedicate their money. Essentially, the economy trades off a short-term reduction in unemployment for a long-term misallocation that produces higher unemployment.

Contrary to what the original theory stipulates, there are likely very large opportunity costs and implementation costs associated with infrastructure spending. Since governments do not produce anything with a calculable market value because their revenues, or taxes, are independent of consumer valuations and therefore blind to any real economic feedback, there is almost no way to know if general infrastructure spending is the best use of resources, let alone any specific project for a road, bridge or highway. It is far more likely that resources are put to more productive use if made through private voluntary transactions because of the effective feedback loop inherent to markets.

To the extent that infrastructure projects are financed through immediate taxes, the private economy immediately shrinks by at least a corresponding amount. If they are financed through government bonds, then current capital markets experience crowding-out effects and other financial assets become more or less expensive than they otherwise should be. Later on, when those government bonds are paid back through higher taxes or higher inflation, the private economy loses again.

Practical Reality
Economics, as a science, struggles to produce convincing empirical results. It is difficult to find solid, demonstrable evidence about how effective changes in infrastructure spending have been. In a 2014 working paper for the International Monetary Fund (IMF), economist Andrew M. Warner found little evidence that global infrastructure projects produced economic gains. Even when projects received credit for growth, Warner found that the economy was already improving at a similar rate by the time construction began.

It should also be noted that the government generally is not excellent at managing money or roads. Federal spending for highways is as much a political tool as an economic one, and states that do not comply with federal mandates often have their infrastructure money held as ransom. Projects also tend to lose their "shovel-ready" status because of lengthy and expensive environmental and permitting reviews. Approvals for public infrastructure projects can take between five and 10 years to be implemented, all the while costing taxpayers as tedious approval processes play out.

President Trump has made no secret of his desire to address flagging infrastructure in America, and in January of 2017 told a gather of major city mayors that the admin plans to "invest around $1.7 trillion in infrastructure." One of Trump's main arguments on the 2016 campaign was that he would fix crumbling infrastructure, and it remains to be seen if his admin will be able to deliver of these lofty promises.

Other Practical Challenges
In 2013, the National Bureau of Economic Research (NBER) and the Federal Reserve Bank of San Francisco published a paper entitled, "Roads to Prosperity or Bridges to Nowhere? Theory and Evidence on the Impact of Public Infrastructure Investment." Therein, economists identified at least four challenges to standard infrastructure-as-stimulus theory: the endogeneity of public infrastructure spending to economic conditions, the decentralized nature of implementation, lags between approved spending decisions and actual project completion, and a high degree of public awareness leading to anticipatory effects.

There are other serious challenges built into the model used in the NBER/Fed paper. Consider the type of theoretical economy described during their analysis: "we consider a cashless national economy consisting of two regions" of "possibly different sizes" where "each region specializes in one type of tradable good" and "firms are monopolistic suppliers."

These are consistent themes in almost all macroeconomic forecasts. Much of what makes a real economy function is assumed away to simplify models enough to produce testable and predictable results. The original theory of public infrastructure spending was even less sophisticated than the NBER/Fed version. It should not be surprising that practical reality, so different than the parameters of macroeconomic models, produces different results.

Compete Risk Free with $100,000 in Virtual Cash
Put your trading skills to the test with our FREE Stock Simulator. Compete with thousands of Investopedia traders and trade your way to the top! Submit trades in a virtual environment before you start risking your own money. Practice trading strategies so that when you're ready to enter the real market, you've had the practice you need. Try our Stock Simulator today >>

Related Articles

MACROECONOMICS
Understanding the Effects of Fiscal Deficits on an Economy

ECONOMICS
What impact to public-private partnerships have on economic growth?

GOVERNMENT SPENDING & DEBT
What Is Fiscal Policy?

MACROECONOMICS
John Maynard Keynes - Giant Of Finance

MACROECONOMICS
Can Keynesian Economics Reduce Boom-Bust Cycles?

ECONOMICS
Ways Economic Growth Can Be Achieved

Related Terms
New Keynesian Economics Definition
New Keynesian Economics is a modern twist on the macroeconomic doctrine that evolved from classical Keynesian economics principles.
more
Supply-Side Theory Definition
Supply-side theory holds that economic growth stimulus is spurred through supply-side fiscal policy targeting variables that lead to supply increases.
more
What Does Obamanomics Mean?
Obamanomics is a popular neologism used to describe the economic policies of the administration of former U.S. President Barack Obama.
more
Milton Friedman Definition
Milton Friedman was an American economist and statistician best known for his strong belief in free-market capitalism.
more
Modern Monetary Theory (MMT)
Modern Monetary Theory is a macroeconomic framework that says monetarily sovereign governments should sustain higher deficits and print as much money as needed because they do not need to worry about insolvency and inflation is a distant possibility.
more
Expansionary Policy Definition
Expansionary policy is a macroeconomic policy that seeks to boost aggregate demand to encourage economic growth.
more
 
Nchi inaendeshwa na akili za mtu binafsi badala ya sheria na utawala bora, wewe JK unajua ulichotutendea watanzania?
Hakuna jinsi,hata kama unaona watu kimya, kama upinzani ukaweka mgombea sahihi, na kura kutochotwa,tegemea uongozi mpya, nawaelewa watu walivyo choka, ila kama upinzani watarudia kuweka bora mgombea, hakuna mabadiliko.
 
Walewale waimba mapambio,

ni wapi Tanzania hii Wananchi wanafurahia maisha?

wewe huoni mabarabara yalivyofurika magari mapya tena latest models jeeps, Vx-V8, Lexus, hammers nk, huoni mashopping malls, supermarkets, clubs, pubs, bars,fukwe na mbuga zinavyofurika watu.. Idadi ya watanzania wanaomiliki magari zaidi ya 2000cc imekuwa kubwa... Watoto shule za private wamefurika ada mpaka 10mil kwa mwaka watu wanalipa, furnitures centers zipo busy balaa, watu wanasafirisha misiba na gari za kifahari na majeneza ya gharama, kumbi za sherehe na Harusi ziko busy balaa, ATCL kila siku inajaza.
 
Hakuna jinsi,hata kama unaona watu kimya, kama upinzani ukaweka mgombea sahihi, na kura kutochotwa,tegemea uongozi mpya, nawaelewa watu walivyo choka, ila kama upinzani watarudia kuweka bora mgombea, hakuna mabadiliko.

Taasisi imara muhimu sana ......
Hatuna hata moja, Prof Assad ni shahid mzuri sana.

Tunaongoza kijeshi, kwa amri na kulazimisha
 
wewe huoni mabarabara yalivyofurika magari mapya tena latest models jeeps, Vx-V8, Lexus, hammers nk, huoni mashopping malls, supermarkets, clubs, pubs, bars,fukwe na mbuga zinavyofurika watu.. Idadi ya watanzania wanaomiliki magari zaidi ya 2000cc imekuwa kubwa... Watoto shule za private wamefurika ada mpaka 10mil kwa mwaka watu wanalipa, furnitures centers zipo busy balaa, watu wanasafirisha misiba na gari za kifahari na majeneza ya gharama, kumbi za sherehe na Harusi ziko busy balaa, ATCL kila siku inajaza.
Kwa iyo kwako watu kulipia private schools ndo uchumi kukua?? Unaweza linganisha kiidadi namba ya wanafunzi waliopo private schools na uka compare na public schools??

Kwa taarifa yako nenda kaulize wauzaji wa magari watakwambia demand ilivyoshuka na pia sio tu hilo , watakwambia ni kwa jinsi gani magari yenye cc ndogo yanavyonunuliwa.

Najua unajua ukweli ila upo kwenye hii mada kimkakati zaidi.

Najua unajua ni kwa jinsi gani biashara zinakufa na kufungwa, ni kwa jinsi gani kampuni na na Shirima mbalimbali yanavyopunguza wafanyakazi na kuhamishia huduma nchi nyingine.

Najua unajua ni kwa jinsi gani kipindi hiki wachuuzi wanekuwa wengi zaidi kuliko biashara kubwa zinazolipa kodi vizuri.

Sekta ya uchumi imeumia sana na inazidi kuumia zaidi. Tunakoelekea ni kubaya zaidi kulipo tulipotoka
 
Mimi ninachoona kwa sasa JF japo nami sio wa muda mrefu humu..ni hivi JF kwa sasa imejaa vijana wengi walio kuwa na umri 18-25 amabao wengi wao hawana majukumu yoyote hawana hata uwezo wa kuhoji na hawajui tabu ya kutafuta..wengi wanakaa kwa wazazi wao na kila kitu wana hudumiwa.

Mimi tangu nimeanza kujitegemea ile rasmi namaanisha kila kitu juu yangu sasa ndo naona joto ya jiwe huku mtaani lakini kwa sasa kutokana na mfumo uliopo kilichobaki kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe maana kuna watu walijitoa muhanga kwa maslahi ya wote kilichowakuta kila mtu anajua na hakuna hata mmoja miongoni mwetu tuliojitokeza kusimama nao zaidi ya kuandika nyuma ya keyboard.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom